Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amri za Mahakama ya Juu ya Kenya
1. Uchaguzi ulikuwa batili
2. Mshindi ni batili
3. Uchaguzi mpya uitishwe ndani ya siku 60
4. Kila upande ubebe gharama zake
5. Hukumu itapatikana ndani ya siku 21 kuanzia leo
Leo umetolewa uamuzi wa Mahakama kwa ufupi. Hukumu kamili,itakayokuwa na huo uamuzi wa leo pia,itatolewa baada ya siku 21. Ni hukumu kamili ya waliokuwa wengi na zile za Majaji wawili waliotofautiana na wengine.Hapo number 5 ina maana gani??
Au 1-4 siyo sehemu ya hukumu ..................!! Msaada tutani!!
Mkuu umeongea kwa uchungu sanaSiye tuna kivuli cha mahaka hatujawahi kuwa na mahaka na bado sana kuwa na mahakama.
Kuna chombo maalumu kinachomilikiwa na watu maalumu kwa kazi maalumu kukomesha wakusudiwa sio wahalifu. Mungu tunusuru wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo ndio gharama yake. Ili kujifunza lazima uingie gharamaWakenya wanaenda kufilisika kabisa hata kale kareserve kadogo kalichobaki kanaenda kutafunwa sababu kuendesha uchaguzi wa taifa ni sawa na gharama za vita.
Kwa mtu yeyote anayejua distribution of expensive governmental objectives uchaguzi wa kitaifa is among the biggest threats to the national economy, first it keeps many economic aspects to the limbo, secondary it consumes massively without returning.Hehehe!! Mimi sio muwakilishi wa Uhuru Kenyatta popote pale, ni haki yangu kumchagua rais nimtakaye kama jinsi ilivyo kwa wenzetu wanaomfagilia Raila. Japo cha msingi, Kenya kwanza.... bendera yetu na uzalendo ndio vitu vya msingi kwangu, mengine ni mapito tu. Fuata tamko langu huku Tupunguze mipovu na kuwa watulivu, huu ushindani ni wetu sote
Hehehe!! Mimi sio muwakilishi wa Uhuru Kenyatta popote pale, ni haki yangu kumchagua rais nimtakaye kama jinsi ilivyo kwa wenzetu wanaomfagilia Raila. Japo cha msingi, Kenya kwanza.... bendera yetu na uzalendo ndio vitu vya msingi kwangu, mengine ni mapito tu. Fuata tamko langu huku Tupunguze mipovu na kuwa watulivu, huu ushindani ni wetu sote
Kwa mtu yeyote anayejua distribution of expensive governmental objectives uchaguzi wa kitaifa is among the biggest threats to the national economy, first it keeps many economic aspects to the limbo, secondary it consumes massively without returning.
Poleni wakenya democracy is so expensive and it is going to dehydrate you to the maximum.
Hehehe!! Mimi sio muwakilishi wa Uhuru Kenyatta popote pale, ni haki yangu kumchagua rais nimtakaye kama jinsi ilivyo kwa wenzetu wanaomfagilia Raila. Japo cha msingi, Kenya kwanza.... bendera yetu na uzalendo ndio vitu vya msingi kwangu, mengine ni mapito tu. Fuata tamko langu huku Tupunguze mipovu na kuwa watulivu, huu ushindani ni wetu sote