REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Zanzibar general election ni sawa na classroom representatives election ile hata Sikonge ni kubwa.Mbona hata sisi Zanzibar ulirudiwa mkuu? Tena baadhi ya wafadhili walisusa na hadi sasa hivi wamegoma kushirikiana na serikali ya mapinduzi. MK254 tukubali tu kwamba tuna mengi ya kujifunza kutoka kwenu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Kenya!