KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Mbona hata sisi Zanzibar ulirudiwa mkuu? Tena baadhi ya wafadhili walisusa na hadi sasa hivi wamegoma kushirikiana na serikali ya mapinduzi. MK254 tukubali tu kwamba tuna mengi ya kujifunza kutoka kwenu.

Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Kenya!
Zanzibar general election ni sawa na classroom representatives election ile hata Sikonge ni kubwa.
 
Inamaana rafiki wa lowassa .. chama ambacho CDM kinaunga mkono kilifisadi uchaguzi na kuchakachua? ama kweli ndege wafananao huruka pamoja
 
Kwa hiyo na wale wazungu walio kuwa wakisema kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki walikuwa wanafiki au kuna vigezo vyao binafsi walikuwa wanavitumia?
Sio kwamba uchaguzi haukuwa huru na wa haki (kumbuka hili hapa haikubadili matokeo) bali mahakama imesema uchaguzi haukufwata katiba kikamili. This is a flawed court decision since there will never be a perfect democratic process lazima kasoro ndogo zitokee.
 
Habari!
Watanzania tumekuwa tukililia kuwa na tume huru ya kusimamia shughuli yote ya uchaguzi kwa kusema kuwa NEC haina. Hivyo wengine kudiriki kusema iko controlled na walio ktk dola kuweka matokeo kutokana na matakwa ya walio ktk dola.

Wenzetu wa Kenya wana IEBC kama tume huru ya kusimamia shughuli za uchaguzi. Ila ni wazi baada ya mahakama ya juu kutengua ushindi wa Uhuru Kenyatta ambaye alitangazwa na IEBC kuwa ni mshindi ktk uchaguzi ambao ilisemekana ni Free and Fair.

Mahakama kuu imetambua kuwa kuna udukuzi ulifanyika ktk mchakato ambao ulimwezesha Uhuru "kushinda", hivyo wametengua ushindi huo.

Je baada ya kuwapongeza sana wakenya kwa kuwa na tume huru ya uchaguzi, je ni kweli kuwa na tume huru kutaleta matokeo huru?? Je tume huru italeta mgombea aliyechaguliwa na wananchi kihalali??
Ni wazi tume hii haiko "huru" maana imeingiliwa na ni wazi wajumbe wake wamehusika!!

Je kwa haya ya Kenya, je NEC huru ni moja ya solution ya uchaguzi huru na wa haki??

Jibu ni fupi sana na lililojaa ukweli kwamba -Kwa Katiba tuliyo nayo hiyo ni ndoto!
 
Sio kwamba uchaguzi haukuwa huru na wa haki (kumbuka hili hapa haikubadili matokeo) bali mahakama imesema uchaguzi haukufwata katiba kikamili. This is a flawed court decision since there will never be a perfect democratic process lazima kasoro ndogo zitokee.
Kulikuwa na kasoro kubwa. Mtambo wa kuhesabia kura ulisetiwa kila kura zikihesabiwa unapata Kenyata 54.32% na Raila 44.75% hata kama wakihesabu jimbo moja au majimbo kumi rate ya tofauti ni hiyohiyo haibadiliki. Mimi nilishituka mapema...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuwa na Tume huru ya Uchaguzi kama huna Tume huru ya Vyama vya siasa.

Kama Mwenyekiti wa vyama siasa anayepaswa kuvilinda na kutenda haki anakubali kutumia na Mwenyekiti wa Chama Utawala halafu unategemea kuwe na tume huru ya Uchaguzi unajidanganya.

Wakati Mwenyekiti wa Tume ya vyama vya sasa ikitafuta njia ya kuvifanya vyama vya sasa weak kwa kuingiza sheria ngumu zaidi na kuingilia Uhuru wa vyama ili tu kulipa Chama Utawala uwezo wa kushindwa bila jasho tusahau tume huru ya Uchaguzi.

Kama Mahakama ni Tawi la CCM inashindwa kutoa hukumu moja tu kwa miaka miwili basi siyo tusahau tume huru Bali hata haki za Mahakama na Mahakama huru pia tuisahau.

In short hakuna kitu kama Tume huru Tanzania labda siku CCM ife kabisa na siwepo hata jamaa mmoja wa Watawala wa CCM yaani watawala wote na vizazi vyao waluopo CCM wakiondoka duniani labda tunaweza kuwa na Tume huru.Kwa sasa tusahau.
 
Kama kuna ukweli basi mahakama za Kenya zitakuwa ziko huru kupita mahakama zote duniani.
Kitu kama hiki kilitokea Ukraine 2004 na Austria mwaka jana tu(2016).
Kwa hiyo Kenya imeweka rekodi kuwa nchi ya tatu ku-nullify uchaguzi wa rais.
 
Safari sio nyepesi sana kwa kinachofanywa na CCM bara na visiwani ikingatiwa walishaanza kuwekeza kwenye UJINGA wa Watanzania kwa kunajisi mifumo ya elimu kwanza ili kujihakikishia utawala wa milele. Hata ikiitishwa katiba mpya na 80% hawana ufahamu nayo tofauti na wenzetu Kenya, tutaishia kupitisha madudu mapya tu kama haya ya kwenye katiba pendekezwa.
Yaani NG'OMBE moja tu from nowhere inakuwa na mamlaka ya kufuta uchaguzi usio na dosari kabisa na kutangaza mwingine kwa kadiri ya anavyotumwa na wanaomtuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba uchaguzi haukuwa huru na wa haki (kumbuka hili hapa haikubadili matokeo) bali mahakama imesema uchaguzi haukufwata katiba kikamili. This is a flawed court decision since there will never be a perfect democratic process lazima kasoro ndogo zitokee.
Sasa kutokufuata katiba huoni kuwa kuna vipengele vya demokrasia havikufuatwa? Yaani iwekwe sheria, isifuatwe , halafu bado tu tuseme kuwa ulikuwa huru na haki!!
Mh haya.
 
Kulikuwa na kasoro kubwa. Mtambo wa kuhesabia kura ulisetiwa kila kura zikihesabiwa unapata Kenyata 54.32% na Raila 44.75% hata kama wakihesabu jimbo moja au majimbo kumi rate ya tofauti ni hiyohiyo haibadiliki. Mimi nilishituka mapema...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mi nilishangaa sana kitu hiki, yaani inaonekana yalishakuwa pre programmed, maana ilikuwa haijalishi ni matokeo kutuka vituo gani lakini tafauti ilikuwa iko vile vile
 
Rest in Peace Msando. Sasa na tume itabadilishwa ama ? Sasa team ya UHURU itakubali au itakata rufaa ? Let us keep folllowing. Im proud to live seeing this.
Ni kama Kenyatta aliyajua matokeo maana kuna siku alikuwa akitoa msimamo kuwa hatawaongezea wabunge mishahara akasema "Sitawaongezea wabunge mishahara kama wanavyopendekeza kwa sababu wakati wanagombea walikuwa wakijua watapata nini. Na namuomba kaka yangu Raila kama ukishinda kesi na kuwa rais usikubali kuwaongezea".

Kwa maneno yake hayo, huenda Raila akashinda Marudio. Lets keep watching.
 
Jibu ni fupi sana na lililojaa ukweli kwamba -Kwa Katiba tuliyo nayo hiyo ni ndoto!
Kenya wanajinasibu kuwa wana katiba nzuri ila IEBC imeshindwa licha ya kuwa 'huru'.

Safari sio nyepesi sana kwa kinachofanywa na CCM bara na visiwani ikingatiwa walishaanza kuwekeza kwenye UJINGA wa Watanzania kwa kunajisi mifumo ya elimu kwanza ili kujihakikishia utawala wa milele. Hata ikiitishwa katiba mpya na 80% hawana ufahamu nayo tofauti na wenzetu Kenya, tutaishia kupitisha madudu mapya tu kama haya ya kwenye katiba pendekezwa.
Yaani NG'OMBE moja tu from nowhere inakuwa na mamlaka ya kufuta uchaguzi usio na dosari kabisa na kutangaza mwingine kwa kadiri ya anavyotumwa na wanaomtuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe pia haujanielewa! Kenya wana tume huru ila imeboronga, licha ya kuwa na katiba nzuri.

Huwezi kuwa na Tume huru ya Uchaguzi kama huna Tume huru ya Vyama vya siasa.

Kama Mwenyekiti wa vyama siasa anayepaswa kuvilinda na kutenda haki anakubali kutumia na Mwenyekiti wa Chama Utawala halafu unategemea kuwe na tume huru ya Uchaguzi unajidanganya.

Wakati Mwenyekiti wa Tume ya vyama vya sasa ikitafuta njia ya kuvifanya vyama vya sasa weak kwa kuingiza sheria ngumu zaidi na kuingilia Uhuru wa vyama ili tu kulipa Chama Utawala uwezo wa kushindwa bila jasho tusahau tume huru ya Uchaguzi.

Kama Mahakama ni Tawi la CCM inashindwa kutoa hukumu moja tu kwa miaka miwili basi siyo tusahau tume huru Bali hata haki za Mahakama na Mahakama huru pia tuisahau.

In short hakuna kitu kama Tume huru Tanzania labda siku CCM ife kabisa na siwepo hata jamaa mmoja wa Watawala wa CCM yaani watawala wote na vizazi vyao waluopo CCM wakiondoka duniani labda tunaweza kuwa na Tume huru.Kwa sasa tusahau.
Weka pembeni mambo ya mahakama ya Kenya kufuta ushindi wa Kenyatta. Kenya wana katiba nzuri na tume huru ila yametokea haya!
Nafikiri hamjanielewa nilichomaanisha.
 
Vipi kuhusu chadema tuliompongeza Kenyata na kumshurutisha magufuli atoe pongezi kwa kenyata??
 
Back
Top Bottom