NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Kama vile nimekwambia, umequote article usiyoielewa maanake hata hapo kwa red sio swali bali ni statement.The truth of the matter is, hakuna hata mmoja wenu ameweza kutowa majibu on all red highlighted area on the main article.
Shida yenu wabongo mna so much inferiority complex mnafuatilia chochote kinachoendelea Kenya na mkipatana na article yoyote inayocriticize anything Kenyan mnakuja humu na kufungua mathread bila kuelewa. Hivi mnajua hata miji iliyo bora zaidi ulimwenguni kama Copenhagen ama Zurich bado kuna wannchi humo wanaoandika articles za kuzicriticize? Mkenya asipofurahishwa na maendeleo ya Kenya haimaanishi Tanzania sasa imekua bora.