1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Ndio maana munaambiwa mujenge mazingira ya dunia kuwa kama kijiji ili na sisi tuende S.A ,Kenya,Rwanda ,Kongo,Burundi n.k mana kuna faida kubadilishana watoa taaluma.tena wanapewa na ukuu wa shule kabisa. Serikali iwe makina. Selikari iliwahi kusema kazi zinazoweza kufanywa na watanzania. Zisiajili wageni.! Hivi Hakuna watanzania wanaoweza kuwa wakuu wa shule!?
TISS imara ilikuwa enzi za Mwalimu,tiss ya sasa ipo busy kuilinda CCMNaikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
Porojo tu. Acha uzushi ndugu. Jifunze kuamini kuwa dunia hii maisha ni utandawazi na utandawazi ndiyo maisha. Kama kuna mtu / mwalimu specific unaeamini kwamba ni jasusi basi kamripoti huyo huyo kwenye mamlaka husika kama ambavyo ungemripoti mhalifu yoyote mwingine katika jamii badala ya ku generalize kwamba eti walimu wanaotoka nchi hizo ni majasusi. Wangekuwa ni majasusi kweli ndiyo wawe wanaishi nchini bila vibali, woga na kujipendekeza kwa viongozi au wamiliki wa shule kama baadhi ya wachangiaji walivyodai? Si serikali za nchi zao zingekuwa zinawawezesha kupata nyaraka zote muhimu ili waweze kupata vibali vya kufanya kazi nchini? Na pia wangekuwa na uhakika wa kuwa na ajira ya kueleweka ya ujasusi katika serikali za nchi zao iweje waishi kwa woga au kujipendekeza kwa viongozi au wamiliki wa shule wakati hawana cha kupoteza hata wasipoendelea kufanya kazi katika shule hizo?Mkuu mada niliyoileta ni genuine cc ni wa Tanzania kukitokea lolote ovu dhidi ya jamhuri tutaungana chini ya jpm bila kujali hata kidogo tofauti za itikadi ila napenda kujua hii kitu ya Russia spy wing in USA
Mleta mada anamaanisha kwamba hawa jamaa wanatumia "cover" ya ualimu kufanya shughuli za kijasusi nchini.
OK basi aende akawakamateMleta mada anamaanisha kwamba hawa jamaa wanatumia "cover" ya ualimu kufanya shughuli za kijasusi nchini.
Serikali kupitia Waziri husika na watendaji wake watakujibu maana wapo humuKwanini walete waalimu na sisi tunao hawana ajira?
Halafu mtawafanya Nini wakati serikali imewapa vibali vya kuishi na kufanya kazi? Litakalofuata ni kuambiwa waongo na mnachuki binafsiWana mienendo gani hao uliokutana nao? Ili na sisi tukikutana na wengine maeneo yetu huku tuweze ku connect dots na kuwabaini.
Kosa letu ni tangu 1967 tulipobadili lugha ya kufundishia elimu ya msingi kwa shule za serikali. Na hapo ndipo waKenya na waUganda wanapopata chati ya kufundisha ktk English medium zetu. Kwani walimu wetu wengi kwa asilimia kubwa si wazuri ktk English. Hasa cha kuongea , Na ni kwa sababu ya msingi wetu wa elimu ulivyokuwa huko nyuma .Labda tu kwa sababu ya soko huria lkn sioni kipya ambacho wana ki deliver hawa wakenya na waganda ambacho watanzania hawakiwezi. Ni kasumba tu
Watatuharibia watoto wetu Walimu wa kigeni upenda kupenyeza mambo ambayo hayana msingi mzuri kwa kizazi hiki.Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
Hilo kweli lipo na si kwa upande wa walimu pekee yao bali hata katika sekta zingine. Lakini haihalalishi madai ya mleta hoja kwamba ni majasusi. Mimi ninachoamini ni kwamba wangelikuwa ni majasusi kweli waliotumwa na serikali zao hizo serikali zao zisingeshindwa kuwaandalia nyaraka zote muhimu ili kuwawezesha kupata vibali vya kuishi na kufanya kazi bila usumbufu na hivyo kufanikisha lengo la serikali yao la kufanya ujasusi.Na wengi hawana vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini.Wenye shule huwa wanawaficha wakati wa ukaguzi
hakuna tiss imara kama ya jakaya na ya sasa ya mr jiwe trust meMUNGUTISS imara ilikuwa enzi za Mwalimu,tiss ya sasa ipo busy kuilinda CCM
Safi sana wakenya na Uganda sisi wa kwetu wanapambana na chadema kwanzaNaikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
Mwambie akajifunze kichina mana muda sio mrefu Afrika itakua koloni la China . Kinge wenzake walishakijua mapema.Porojo tu. Acha uzushi ndugu. Jifunze kuamini kuwa dunia hii maisha ni utandawazi na utandawazi ndiyo maisha. Kama kuna mtu / mwalimu specific unaeamini kwamba ni jasusi basi kamripoti huyo huyo kwenye mamlaka husika kama ambavyo ungemripoti mhalifu yoyote mwingine katika jamii badala ya ku generalize kwamba eti walimu wanaotoka nchi hizo ni majasusi. Wangekuwa ni majasusi kweli ndiyo wawe wanaishi nchini bila vibali, woga na kujipendekeza kwa viongozi au wamiliki wa shule kama baadhi ya wachangiaji walivyodai? Si serikali za nchi zao zingekuwa zinawawezesha kupata nyaraka zote muhimu ili waweze kupata vibali vya kufanya kazi nchini? Na pia wangekuwa na uhakika wa kuwa na ajira ya kueleweka ya ujasusi katika serikali za nchi zao iweje waishi kwa woga au kujipendekeza kwa viongozi au wamiliki wa shule wakati hawana cha kupoteza hata wasipoendelea kufanya kazi katika shule hizo?
Kama wewe ni mwalimu na kiingereza chako ni cha kuungaunga kama mimi hapa usianze fitina kwa hao walimu wenzio badala yake tenga muda wako kujifunza zaidi kiingereza ili hatimaye uweze kufaidi mema yanayotokana na uwezo mkubwa wa kuongea na kuandika kwa lugha hiyo.
Ikikupendeza ujibu hii post yangu kwa majibu yaliyoshiba na si kwa sentensi moja kwa kiingereza ili tuanzie hapo.
Majungu kama yepi mkuu taja hata 2Halfu wakati wa uchaguzi wa 2015 wote waligeuka wapiga debe wa Lowassa. Pamoja na hawa wanaokuja kwa kivuli cha dini! Hata magazeti mengi ya Kenya na wachambuzi wao wanapenda kurusha madongo sana kwa rais wetu.