Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Ulichoongea ni sahihi. Hata hapa kwetu kuna wachache mnaoweza kuwa mnajituma na shule ikafaulisha vizuri. Hata mimi nina mifano ya shule zinazofaulisha vizuri na hazina walimu wa kutoka huko nje. Hoja yangu ya kusema kauli ya mwanzilishi wa mjadala ni sehemu ya propaganda za kudhoofisha shule za binafsi ni kutokana na kauli yake kwamba hao walimu wa kigeni ni majasusi. Kitu kizuri ni kwamba hata wewe pamoja na kwamba unafanya nao kazi hao walimu wa kigeni lakini haujakiri kujua chochote kuhusu wao kujihusisha na espionage na badala yake umezungumzia ubora wa walimu.Mkuu unachosema hakina ukweli, mm ni mwalimu kwenye shule kubwa na bora mkoa wa Pwani, tupo Watanzania na wageni pia, sijaona kubwa wanalofanya kutuzidi zaidi ya unyenyekevu na kujipendekeza kwa wakuu kwasababu wengi wanaishi bila vibali.
Swala la Episonage sijui lakin wao sio bora kuliko Sisi.