Tetesi: Kenya na Uganda zinapenyeza majasusi kupitia shule za binafsi Tanzania

Nachoweza kusema ni kuwa mwaka 2015 walikuwa wapiga debe wakubwa wa Lowassa.
Harafu kuna shule 1 iko kinyerezi niy waganda ndipo kulipokuwa kituo cha kupigia kura na kuandikishia vitambulisho vya uchaguzi tume
 
Huwezi kulizuia hili mbona hata sisi tuna majajusi nchi karibia zote za jirani
 
Wengine hata passport hawana lakini unawaripoti wapi kwa mfano, kama tu TISS yenyewe inapoteza imani kwa raia taratibu ila kwa uhakika, polisi ndiyo basi kabisa, JWTZ na yenyewe inazidi kutumika kisiasa na kupoteza muono wa kulinda taifa na kubaki nyenzo ya tabaka tawala tu.


Mimi nakutana nao sana lakini siwezi kuwaripoti kwa watu ambao wanajilinda wao badala ya kulinda taifa na raia wake. Acha tu wawafanyie ujasusi maana Tanzania si yetu tena bali ya kikundi cha watu fulani wanaojiona miungu watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…