TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Yaani, wapuuzi kweli. Hivi, Uhuru ameisharudi kutoka Ufaransa!?Kenya wameanza tena
Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa.
Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba.
Tusiwajaribu polisi Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa........!bwashee nawaza kwa sauti laiti angekuwa ndiye mama samia amefanyiwa huo undava..
ungempongeza siro.?
Tunaongelea siasa za Kenya. Magufuri anaingiaje? Tanzania na Kenya tofauti ujueHehehe yule anayeshinda makanisani na makamera sio Jiwe hadi anachangisha sadaka za wakrito kujenga mskikiti? Laanaturah