Kenya: Naibu Rais Rutto apigwa mabomu ya machozi akiwa Kanisani ili kuzuia kuchanganya dini na siasa

Kenya: Naibu Rais Rutto apigwa mabomu ya machozi akiwa Kanisani ili kuzuia kuchanganya dini na siasa

Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa.

Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba.

Tusiwajaribu polisi Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!

bwashee nawaza kwa sauti laiti angekuwa ndiye mama samia amefanyiwa huo undava..

ungempongeza siro.?
 
Kenya 2022 lazima wachinjane kama kawaida yao, kama hamjajua wanachinjanaga wakati incumbent president anamaliza muda wake.

Tukae mkao wa kupokea wakimbizi wa kivita
 
Jinsi Demokrasia ilivyokomaa katika nchi jirani ya Kenya.
 
Back
Top Bottom