Kenya namba tano duniani kwa nishati mbadala

Kuongea ukweli sio chuki, ndivyo mlivyo mivivu, haiwezekani nchi muwe na kila kitu raslimali za kila aina madini kuzidi hata mataifa mengine mengi, nchi yenyewe kubwa yenye rotuba kila sehemu haina jangwa wala sehemu kame, vivutio bora vya watalii kuzidi mataifa yote Afrika...yaani orodha ndefu tu ukizingatia ni muungano wa ncho mbili, lakini maskini wa kutupwa.

Bora wengine wanaweza wakajitetea kuwa wamekumbwa na misukosuko na machafuko hadi vikawachelewesha.

Kubali kuambiwa ukweli na utakuweka huru, jana nilikua namskliza rais Magufuli akiwa Mwanza na kwa mara ya kwanza nikaanza kukubaliana na baadhi ya misemo yake, alikua anataja vitu ambavyo mumeviua kwa miaka yote hiyo ikiwemo meli kadhaa.
Nyie ni wazembe na ndio ukweli huo, mkikubali kauli mbiu ya kuamka na kufanya kazi, ipo siku mtaacha kuonwa wa hovyo.
Huku mumetujazia omba omba kila sehemu

Huo umaskini wa kutupwa upo kwenye top 10 economy in Africa?
 
Stop the hypocrisy! Wewe ni baadhi ya wale ambao wamezoea kuiita Kenya "failed state"
Mbona kashika Mori nchi yako ikitiwa kejeli?
Ninyi sadistic tu hamna lolote mnafikiri eti kwa hii bullying ndio tutarudi nyuma, Tanzania ipo juu
 
Huyu huwa anasumbuliwa na ufinyu wa akili alafu tena ukiongezea lile dili la sgr lililosainiwa juzi anazidi kuumia na kuonesha chuki za waziwazi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
LOL ni bonge la sadistic
Uganda pipeline
DRC SGR
Na saivi Mombasa inanyanyaswa sana na Tanga port so lazima wanune
 
Kuongea ukweli sio chuki, ndivyo mlivyo mivivu, haiwezekani nchi muwe na kila kitu raslimali za kila aina madini kuzidi hata mataifa mengine mengi, nchi yenyewe kubwa yenye rotuba kila sehemu haina jangwa wala sehemu kame, vivutio bora vya watalii kuzidi mataifa yote Afrika...yaani orodha ndefu tu ukizingatia ni muungano wa ncho mbili, lakini maskini wa kutupwa.

Bora wengine wanaweza wakajitetea kuwa wamekumbwa na misukosuko na machafuko hadi vikawachelewesha.

Kubali kuambiwa ukweli na utakuweka huru, jana nilikua namskliza rais Magufuli akiwa Mwanza na kwa mara ya kwanza nikaanza kukubaliana na baadhi ya misemo yake, alikua anataja vitu ambavyo mumeviua kwa miaka yote hiyo ikiwemo meli kadhaa.
Nyie ni wazembe na ndio ukweli huo, mkikubali kauli mbiu ya kuamka na kufanya kazi, ipo siku mtaacha kuonwa wa hovyo.
Huku mumetujazia omba omba kila sehemu

Hard workers
IMG_7295.JPG
 
Huo umaskini wa kutupwa upo kwenye top 10 economy in Africa?

Hadi mtoke kwenye hii ramani ndio siku uje kuongea, kwa sasa nyie ni mivivu, maskini na mumejaza omba omba huku Kenya, pole ila ndio ukweli

Africa-UN.jpg
 
LOL anasema Tanzania masikini wa kutupwa wakati population below the poverty line ni 26% wakati Kenya ni 48% sasa sijui hapo nani wa kumcheka mwenzake

Huku wenyewe wakisaidiwa chakula na 99.9% desert country View attachment 1286264

Hii nchi tajiri mpaka leo wanakunya Kwenye mifuko, Ndani ya mji mkuu. Hata vyoo na maji hamna, maisha kama ya Nguruwe[emoji2][emoji2]
Lol Tazama video hiyo
 
Hadi mtoke kwenye hii ramani ndio siku uje kuongea, kwa sasa nyie ni mivivu, maskini na mumejaza omba omba huku Kenya, pole ila ndio ukweli

Africa-UN.jpg
ninyi mtajinasua lini kutoka kwenye hili ziwa la umasikini?
1281792_643D69BA-B00E-4AD4-A514-935CE6846A2E.jpeg
1281798_2B0D8826-86A3-4B03-AF6C-9561F1F4C83E.jpeg
 
Back
Top Bottom