Gunther1
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 526
- 267
Andika Kama mtu mzimaKwani ni Tanzania ndio ilitaja kenya kama failed state ๐๐๐
Yeah ni kweli kenya ni failed state hilo halina ubishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika Kama mtu mzimaKwani ni Tanzania ndio ilitaja kenya kama failed state ๐๐๐
Yeah ni kweli kenya ni failed state hilo halina ubishi.
Kenya ni failed state,Andika Kama mtu mzima
Kuongea ukweli sio chuki, ndivyo mlivyo mivivu, haiwezekani nchi muwe na kila kitu raslimali za kila aina madini kuzidi hata mataifa mengine mengi, nchi yenyewe kubwa yenye rotuba kila sehemu haina jangwa wala sehemu kame, vivutio bora vya watalii kuzidi mataifa yote Afrika...yaani orodha ndefu tu ukizingatia ni muungano wa ncho mbili, lakini maskini wa kutupwa.
Bora wengine wanaweza wakajitetea kuwa wamekumbwa na misukosuko na machafuko hadi vikawachelewesha.
Kubali kuambiwa ukweli na utakuweka huru, jana nilikua namskliza rais Magufuli akiwa Mwanza na kwa mara ya kwanza nikaanza kukubaliana na baadhi ya misemo yake, alikua anataja vitu ambavyo mumeviua kwa miaka yote hiyo ikiwemo meli kadhaa.
Nyie ni wazembe na ndio ukweli huo, mkikubali kauli mbiu ya kuamka na kufanya kazi, ipo siku mtaacha kuonwa wa hovyo.
Huku mumetujazia omba omba kila sehemu
Ninyi sadistic tu hamna lolote mnafikiri eti kwa hii bullying ndio tutarudi nyuma, Tanzania ipo juuStop the hypocrisy! Wewe ni baadhi ya wale ambao wamezoea kuiita Kenya "failed state"
Mbona kashika Mori nchi yako ikitiwa kejeli?
LOL ni bonge la sadisticHuyu huwa anasumbuliwa na ufinyu wa akili alafu tena ukiongezea lile dili la sgr lililosainiwa juzi anazidi kuumia na kuonesha chuki za waziwazi ๐๐๐
Ndio maana wanazidi kuichukia Tanzania ๐๐๐LOL ni bonge la sadistic
Uganda pipeline
DRC SGR
Na saivi Mombasa inanyanyaswa sana na Tanga port so lazima wanune
Huo umaskini wa kutupwa upo kwenye top 10 economy in Africa?
Kuongea ukweli sio chuki, ndivyo mlivyo mivivu, haiwezekani nchi muwe na kila kitu raslimali za kila aina madini kuzidi hata mataifa mengine mengi, nchi yenyewe kubwa yenye rotuba kila sehemu haina jangwa wala sehemu kame, vivutio bora vya watalii kuzidi mataifa yote Afrika...yaani orodha ndefu tu ukizingatia ni muungano wa ncho mbili, lakini maskini wa kutupwa.
Bora wengine wanaweza wakajitetea kuwa wamekumbwa na misukosuko na machafuko hadi vikawachelewesha.
Kubali kuambiwa ukweli na utakuweka huru, jana nilikua namskliza rais Magufuli akiwa Mwanza na kwa mara ya kwanza nikaanza kukubaliana na baadhi ya misemo yake, alikua anataja vitu ambavyo mumeviua kwa miaka yote hiyo ikiwemo meli kadhaa.
Nyie ni wazembe na ndio ukweli huo, mkikubali kauli mbiu ya kuamka na kufanya kazi, ipo siku mtaacha kuonwa wa hovyo.
Huku mumetujazia omba omba kila sehemu
LOL anasema Tanzania masikini wa kutupwa wakati population below the poverty line ni 26% wakati Kenya ni 48% sasa sijui hapo nani wa kumcheka mwenzakeNdio maana wanazidi kuichukia Tanzania ๐๐๐
๐๐๐LOL anasema Tanzania masikini wa kutupwa wakati population below the poverty line ni 26% wakati Kenya ni 48% sasa sijui hapo nani wa kumcheka mwenzake
Huku wenyewe wakisaidiwa chakula na 99.9% desert country View attachment 1286264
LOL anasema Tanzania masikini wa kutupwa wakati population below the poverty line ni 26% wakati Kenya ni 48% sasa sijui hapo nani wa kumcheka mwenzake
Huku wenyewe wakisaidiwa chakula na 99.9% desert country View attachment 1286264
lol mchina kawaona kama vituko, mtu katandikwa na njaa halafu wanampa beers hahaha๐๐๐
Mido inikamu kantriilol mchina kawaona kama vituko, mtu katandikwa na njaa halafu wanampa beers hahaha
ninyi mtajinasua lini kutoka kwenye hili ziwa la umasikini?Hadi mtoke kwenye hii ramani ndio siku uje kuongea, kwa sasa nyie ni mivivu, maskini na mumejaza omba omba huku Kenya, pole ila ndio ukweli
![]()
lo wasome wakenya wenzaoHii nchi tajiri mpaka leo wanakunya Kwenye mifuko, Ndani ya mji mkuu. Hata vyoo na maji hamna, maisha kama ya Nguruwe[emoji2][emoji2]
Lol Tazama video hiyo
Vitu kama hivi ndio vinazidi kuwapa hasira ๐๐๐lo wasome wakenya wenzao View attachment 1286306View attachment 1286307
Sijakuuliza kakaNinyi sadistic tu hamna lolote mnafikiri eti kwa hii bullying ndio tutarudi nyuma, Tanzania ipo juu
Wafahamu kuwa hii ni stalking?lo wasome wakenya wenzao View attachment 1286306View attachment 1286307
Usini QUOTESijakuuliza kaka