Kenya ni Masikini kuliko TZ

Kenya ni Masikini kuliko TZ

Hivi ni kitu gani wakenya wakiifungia tanzania na tz ikataabika, ila sisi watz tunaweza kuwafungia wakenya na wakataabika sana, cha kwanza mipaka, watakufa njaa hawa watu[emoji23]
Acha upumba** Kenya hatuwez lisha Kenya , wao wanajitegemea kwako wanapesa they can source their staple food any where
 
Wewe mwenyewe huwezi jilisha pamoja na Kijiji chako utalisha aje watu
 
Acha upumba** Kenya hatuwez lisha Kenya , wao wanajitegemea kwako wanapesa they can source their staple food any where
Pesa ipi wakati kila kitu wanakopa, kila kitu wanapewa misaada hadi pesa ya kupambana na Corona, hadi chakula wanategemea misaada. Reli imeishia porini hawawezi kumalizia hadi Malaba, pesa gani Kenya waliyonayo wakati 70% ya uchumi wenu ni madeni?
 
Am tanzanese but I believe Kenya has a great economy than ours
 
Back
Top Bottom