Kenya ni Masikini kuliko TZ

Kenya ni Masikini kuliko TZ

Kenya ndo masikini wa akili tumeona kwenye korona,fedha za korona,njaa.mna njaa mtakuwaje na akili.tunaona nani anaakili mfano kwenye kudili na korona.
Kudeal na Corona Tanzania ilitumia akili gani?Kukata tamaa ni akili?Unaelewa kuwa kwenye suala la Corona Tanzania ilikata tamaa na kwa bahati nzuri corona ikawa ilikuwa ni upepo tu ulikuwa unapita?Unaelewa kuwa ingetokea Corona kuipiga Tanzania kama ilivyopiga Italy basi Watanzania wote wangeisha?Huwa unafikiri kwa kutumia nini?Nikikuita mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?
 
Hivi ni kitu gani wakenya wakiifungia tanzania na tz ikataabika, ila sisi watz tunaweza kuwafungia wakenya na wakataabika sana, cha kwanza mipaka, watakufa njaa hawa watu[emoji23]
Swali la nani ni tajiri zaidi halina tija. Ni sawasawa na wewe na jirani yako mkae mnajibishana mimi ninakuzidi utajiri. Nina Benz wakati wewe unaendesha Toyota. Mwenzako naye anajibu samani nyumbani mwangu ni ya bei mbaya na mlo wangu wa siku ni maelfu kadhaa. So what? Kama wewe ni tajiri zaidi inakusaidia nini kumsema maskini anayeombaomba hapo mtaani? Ukweli ni kwamba matajiri hasa huwa hawajisemi ovyoovyo. Wewe utaona tu kwamba hili jitu ni tajiri kwa kuona mavazi, shule wanakosoma watoto, mapumziko ya mwisho wa wiki, n.k. Vivyo hivyo Tanzania na jirani zetu Kenya. Hatuhitaji kusemana nani zaidi. wakijisema wao ni matajiri zaidi kuliko sisi wakati hapo nyuma kidogo mama mmoja alikaririwa akichemsha mawe kuwadangaya watoto kwamba anapika chakula kwa kuwa hakuwa kabisa na kitu cha kuwalisha. Tuache kusemana. Hali halisi itajionyesha yenyewe tu.
 
Kudeal na Corona Tanzania ilitumia akili gani?Kukata tamaa ni akili?Unaelewa kuwa kwenye suala la Corona Tanzania ilikata tamaa na kwa bahati nzuri corona ikawa ilikuwa ni upepo tu ulikuwa unapita?Unaelewa kuwa ingetokea Corona kuipiga Tanzania kama ilivyopiga Italy basi Watanzania wote wangeisha?Huwa unafikiri kwa kutumia nini?Nikikuita mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?
Kwa hiyo kama kukata tamaa kunapunguza maambukizi, Kenya wamekata nini mbona bado inawapiga?,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo kama kukata tamaa kunapunguza maambukizi, Kenya wamekata nini mbona bado inawapiga?,[emoji23][emoji23][emoji23]
Muulize mbona wanafanya mikutano yao ya kampeni na wanashindana kujaza watu tena hawazungumzii tena mambo ya corona na hawavai barakoa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ndiyo ujengaji hoja halisi wa CCM sasa,shukrani sana kwa kuwawakilisha vyema!Halafu mkiitwa mambumbumbu mnaona kuwa mnaonewa gere
Ninahisi mbumbu unawajua vizuri. Hapa tunajadili kulingana na maoni ya mtu binafsi anavyojisikia, sasa wewe kuanza kuwasema watu kwamba ni CCM, Chadema au dini zao zinaingiaje?.

Jadili mada achana na mambo binafsi ya watu, upo huru kuchagua dini, chama, au hata kutofuata chochote katika hayo, au wewe ndio uliyenikabidhi kadi ya CCM, una uhakika gani kama mimi ni mwanachama wa CCM, au hata kama ni mwanachana wewe inakukera nini, inakuhusu nini?

Wewe ungekua Kenya ungekua mkabila sana kama wakikuyu, umeona hatuna ukabila unaanza kutafuta sababu ya kutugawa, hovyo sana wewe jamaa, zungumza mada husika wachana na tabia ya kupenda kugawa watu.
 
1)Tenth biggest economy in Africa, out of 55 countries, let's assume all 55 African countries form the last 55 poorest countries in the World, that puts Tanzania at position 45 and Kenya at 49th poorest countries in the World [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vigezo vilivotumiwa ni GNI per capita, sio GDP(ambayo hata hiyo Kenya inakaribia kuichapa Tz double). GNI per capita ya $2,700 kwa watu 58million(2018) ndio inaifanya Tz kuwa nchi masikini No. 24 duniani. ..."24. Tanzania
> GNI per capita: $2,700 > 2019 GDP: $63.2 billion (77th out of 206 countries) > Population (2019): 58.0 million > Life expectancy at birth in 2018: 65.0 years
The East African nation of Tanzania
has a $63.2 billion economy and a
population of 58 million"..... Usiitaje Kenya tafadhali kwenye ligi ambazo ni zenu na swahiba wenu Burundi. [emoji1]
 
1)Tenth biggest economy in Africa, out of 55 countries, let's assume all 55 African countries form the last 55 poorest countries in the World, that puts Tanzania at position 45 and Kenya at 49th poorest countries in the World [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani pingli-nywee anazungumzia Gni per capita ambayo inatumika kupima kiwango cha umasikini cha mtu mmoja katika nchi fulani. Ndio mna Gdp kubwa ila kwa sababu mumezaliana kama panya, Gni per capita yenu inapunguka ndio maana level of poverty iko juu huko kwenu. Tumieni family planning.
 
Hawezi kuwa na akili ya kufikiria hilo, GNI ndiyo inayotumiaka kuipandisha nchi kutoka LDC kuingia katika uchumi wa kati, katika Africa nchi zilizoingia katika uchumi wa kati hazifiki hata kumi. Tukitumia kigezo hicho cha GNI, Tanzania inazidi kupanda juu, tatizo hana akili hajui nini anachozungumza.
 
Acha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa, GDP ya $63.5B ndio unawaambia kwamba wana GDP kubwa? [emoji38]
 
Hawezi kuwa na akili ya kufikiria hilo, GNI ndiyo inayotumiaka kuipandisha nchi kutoka LDC kuingia katika uchumi wa kati, katika Africa nchi zilizoingia katika uchumi wa kati hazifiki hata kumi. Tukitumia kigezo hicho cha GNI, Tanzania inazidi kupanda juu, tatizo hana akili hajui nini anachozungumza.
Nchi karibu ishirini za Afrika zina uchumi wa kati. Kabla hujapinga wacha nitafute link kutoka world bank au Imf au UN nipost hapa kisha nitakutag.
 
Back
Top Bottom