Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Lafiki yangu mbona hujanijibu, Ushaolewa?Wewe mwenyewe huwezi jilisha pamoja na Kijiji chako utalisha aje watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lafiki yangu mbona hujanijibu, Ushaolewa?Wewe mwenyewe huwezi jilisha pamoja na Kijiji chako utalisha aje watu
Kenya ndo masikini wa akili tumeona kwenye korona,fedha za korona,njaa.mna njaa mtakuwaje na akili.tunaona nani anaakili mfano kwenye kudili na korona.Tofauti kati ya Kenya na Tanzania ni kwamba Tanzania ni masikini wa akili
Kudeal na Corona Tanzania ilitumia akili gani?Kukata tamaa ni akili?Unaelewa kuwa kwenye suala la Corona Tanzania ilikata tamaa na kwa bahati nzuri corona ikawa ilikuwa ni upepo tu ulikuwa unapita?Unaelewa kuwa ingetokea Corona kuipiga Tanzania kama ilivyopiga Italy basi Watanzania wote wangeisha?Huwa unafikiri kwa kutumia nini?Nikikuita mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?Kenya ndo masikini wa akili tumeona kwenye korona,fedha za korona,njaa.mna njaa mtakuwaje na akili.tunaona nani anaakili mfano kwenye kudili na korona.
Swali la nani ni tajiri zaidi halina tija. Ni sawasawa na wewe na jirani yako mkae mnajibishana mimi ninakuzidi utajiri. Nina Benz wakati wewe unaendesha Toyota. Mwenzako naye anajibu samani nyumbani mwangu ni ya bei mbaya na mlo wangu wa siku ni maelfu kadhaa. So what? Kama wewe ni tajiri zaidi inakusaidia nini kumsema maskini anayeombaomba hapo mtaani? Ukweli ni kwamba matajiri hasa huwa hawajisemi ovyoovyo. Wewe utaona tu kwamba hili jitu ni tajiri kwa kuona mavazi, shule wanakosoma watoto, mapumziko ya mwisho wa wiki, n.k. Vivyo hivyo Tanzania na jirani zetu Kenya. Hatuhitaji kusemana nani zaidi. wakijisema wao ni matajiri zaidi kuliko sisi wakati hapo nyuma kidogo mama mmoja alikaririwa akichemsha mawe kuwadangaya watoto kwamba anapika chakula kwa kuwa hakuwa kabisa na kitu cha kuwalisha. Tuache kusemana. Hali halisi itajionyesha yenyewe tu.Hivi ni kitu gani wakenya wakiifungia tanzania na tz ikataabika, ila sisi watz tunaweza kuwafungia wakenya na wakataabika sana, cha kwanza mipaka, watakufa njaa hawa watu[emoji23]
Kwa hiyo kama kukata tamaa kunapunguza maambukizi, Kenya wamekata nini mbona bado inawapiga?,[emoji23][emoji23][emoji23]Kudeal na Corona Tanzania ilitumia akili gani?Kukata tamaa ni akili?Unaelewa kuwa kwenye suala la Corona Tanzania ilikata tamaa na kwa bahati nzuri corona ikawa ilikuwa ni upepo tu ulikuwa unapita?Unaelewa kuwa ingetokea Corona kuipiga Tanzania kama ilivyopiga Italy basi Watanzania wote wangeisha?Huwa unafikiri kwa kutumia nini?Nikikuita mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?
Unaongea ujinga halafu unajicheka mwenyewe![emoji1782][emoji1782][emoji1782] Kuwa mwana CCM ni lazima kuwa zuzu?Kwa hiyo kama kukata tamaa kunapunguza maambukizi, Kenya wamekata nini mbona bado inawapiga?,[emoji23][emoji23][emoji23]
Muulize mbona wanafanya mikutano yao ya kampeni na wanashindana kujaza watu tena hawazungumzii tena mambo ya corona na hawavai barakoa [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo kama kukata tamaa kunapunguza maambukizi, Kenya wamekata nini mbona bado inawapiga?,[emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga umeuficha katikati ya mapaja yako kwa nyuma.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaongea ujinga halafu unajicheka mwenyewe![emoji1782][emoji1782][emoji1782] Kuwa mwana CCM ni lazima kuwa mbumbumbu?
Huu ndiyo ujengaji hoja halisi wa CCM sasa,shukrani sana kwa kuwawakilisha vyema!Halafu mkiitwa mambumbumbu mnaona kuwa mnaonewa gereUjinga umeuficha katikati ya mapaja yako kwa nyuma.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpuuzi huyo jamaa, ninamuuliza swali, analeta usengeMuulize mbona wanafanya mikutano yao ya kampeni na wanashindana kujaza watu tena hawazungumzii tena mambo ya corona na hawavai barakoa [emoji23][emoji23][emoji23]
Siasa imemuaribu kiasi kwamba kila kitu anaweka siasa,Mpuuzi huyo jamaa, ninamuuliza swali, analeta usenge
Ninahisi mbumbu unawajua vizuri. Hapa tunajadili kulingana na maoni ya mtu binafsi anavyojisikia, sasa wewe kuanza kuwasema watu kwamba ni CCM, Chadema au dini zao zinaingiaje?.Huu ndiyo ujengaji hoja halisi wa CCM sasa,shukrani sana kwa kuwawakilisha vyema!Halafu mkiitwa mambumbumbu mnaona kuwa mnaonewa gere
Vigezo vilivotumiwa ni GNI per capita, sio GDP(ambayo hata hiyo Kenya inakaribia kuichapa Tz double). GNI per capita ya $2,700 kwa watu 58million(2018) ndio inaifanya Tz kuwa nchi masikini No. 24 duniani. ..."24. Tanzania1)Tenth biggest economy in Africa, out of 55 countries, let's assume all 55 African countries form the last 55 poorest countries in the World, that puts Tanzania at position 45 and Kenya at 49th poorest countries in the World [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaajita matajiri kwa GNI per capita ya $2,700 kwa watu zaidi ya milioni 58. [emoji1] Alafu kituko cha mwaka ni kwamba rais wao Magufuli, ambaye huwa anawaeleza kwamba wazaane kwa wingi kabisa, ameongeza $80 tu kwenye GNI per capita tangia atinge ikulu. $80 tu kwa miaka mitano! 😁You can`t argue with facts. Tanzania will forever remain poor.
Tanzania has been ranked the 24th poorest country in the world
Nadhani pingli-nywee anazungumzia Gni per capita ambayo inatumika kupima kiwango cha umasikini cha mtu mmoja katika nchi fulani. Ndio mna Gdp kubwa ila kwa sababu mumezaliana kama panya, Gni per capita yenu inapunguka ndio maana level of poverty iko juu huko kwenu. Tumieni family planning.1)Tenth biggest economy in Africa, out of 55 countries, let's assume all 55 African countries form the last 55 poorest countries in the World, that puts Tanzania at position 45 and Kenya at 49th poorest countries in the World [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawezi kuwa na akili ya kufikiria hilo, GNI ndiyo inayotumiaka kuipandisha nchi kutoka LDC kuingia katika uchumi wa kati, katika Africa nchi zilizoingia katika uchumi wa kati hazifiki hata kumi. Tukitumia kigezo hicho cha GNI, Tanzania inazidi kupanda juu, tatizo hana akili hajui nini anachozungumza.Nadhani pingli-nywee anazungumzia Gni per capita ambayo inatumika kupima kiwango cha umasikini cha mtu mmoja katika nchi fulani. Ndio mna Gdp kubwa ila kwa sababu mumezaliana kama panya, Gni per capita yenu inapunguka ndio maana level of poverty iko juu huko kwenu. Tumieni family planning.
Acha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa, GDP ya $63.5B ndio unawaambia kwamba wana GDP kubwa? [emoji38]Nadhani pingli-nywee anazungumzia Gni per capita ambayo inatumika kupima kiwango cha umasikini cha mtu mmoja katika nchi fulani. Ndio mna Gdp kubwa ila kwa sababu mumezaliana kama panya, Gni per capita yenu inapunguka ndio maana level of poverty iko juu huko kwenu. Tumieni family planning.
Nchi karibu ishirini za Afrika zina uchumi wa kati. Kabla hujapinga wacha nitafute link kutoka world bank au Imf au UN nipost hapa kisha nitakutag.Hawezi kuwa na akili ya kufikiria hilo, GNI ndiyo inayotumiaka kuipandisha nchi kutoka LDC kuingia katika uchumi wa kati, katika Africa nchi zilizoingia katika uchumi wa kati hazifiki hata kumi. Tukitumia kigezo hicho cha GNI, Tanzania inazidi kupanda juu, tatizo hana akili hajui nini anachozungumza.