Kenya nominates Amina Mohamed for AU chair job

Kenya nominates Amina Mohamed for AU chair job

do you think kuna mtu anaeza anza kulaumu john kerry wa USA kwa vita vya ugaidi m.east? mawaziri wa maswala ya nje wana uhuru wa kufanya kazi zao lakini ikija kwa vitu muhimu hao kazi yao ni ku represent nchi, kama vile husema ,"I serve at the pleasure of the president".. vitu vyengine vikiongelewa serekalini, hata huyo amina maranyingine hua hayuko kwa hio room, badae ndo anaitwa anaambiwa tunataka kufanya hivi na hivi, lakini tunahitaji kuongea na nchi flani, make it happen, so hata sijui jimtu linaezaje anza kulaumu waziri wa mambo ya nje kwa mambo kama usalama kana kwamba hio ni kazi yake, kazi yake ni kufwata matakwa ya serikali ilio mamlakani, si kumea kichwa na kuanza kujifanyia mambo
 
Jamani tunahitaji diplomasia kidogo wakati viongozi wa nchi, hufanya tofauti na wananchi eti kwa sababu tulikuwa hatukubaliani na sera za Jomo Kenyatta haimaanishi tulikuwa tunatofautiana na wananchi wa Kenya ambao bila shaka zaidi ya ujirani ni ndugu zetu, Kenyatta Sr, Moi kamwe hawakuwa wanawakilisha mawazo ya wa Kenya 100%,na ndio maana walipingwa na baadhi ya wananchi mfano Ngugi wa Thiongo, Abdullatif Abdallah, Oginga Odinga, Prof Ali Mazrui kutaja kwa uchache, baadhi walifungwa na baadhi walikwenda uhamishoni, na hapa kimakosa tunawaweka kapu moja! shame on us, njia ya busara ni kukaa wana East Afrika tujipange tumuunge mkono nani, na bila shaka pamoja na maslahi ya Afrika anatetea na ya East Africa.
 
Annael Unajiongelesha mambo za kipumbavu. Hata wabongo wenzako wamekulenga . Whether Amina apate asipate si hoja kwa wakenya wengi. Lakini yakaa hili lawauma baadhi ya wajinga huku jf. Nyie ni balaa kweli.
Mzee hapa inadhihiri kwamba, Wakenya wamekuwa ndumila kuwili kwa Waafrika wenzao muda mrefu wakati walipokuwa katika mapambano ya kuzikomboa nchi zao. Yaani walikosa uzalendo kwa bara la Afrika na kuukumbatia ukoloni mamboleo, hilo linawafanya Waafrika waiangalie Kenya kwa jicho la kipekee hasa inapokuja fusa kama hizo zinazohusu Umoja wa Afrika.
 
ngozimbili, peleka upuuzi Kenyatta yupi anatetea maslahi ya Africa!? Huyu tunayemjua sisi anayegoma kujiunga na bomba la Jumuiya na kuwa wa kwanza kulalama anapogomewa kupitishwa kwa viza ya pamoja? Yeye na serikali yake ni sell out. Kwa taarifa yako ombi la Kenyatta kwa SADC limekataliwa. Its official..
 
Huo u-pan africanism wa Uhuruto umetokana na kesi yao ya ICC hamna kitu tofauti na waliotangulia.
 
ngozimbili, peleka upuuzi Kenyatta yupi anatetea maslahi ya Africa!? Huyu tunayemjua sisi anayegoma kujiunga na bomba la Jumuiya na kuwa wa kwanza kulalama anapogomewa kupitishwa kwa viza ya pamoja? Yeye na serikali yake ni sell out. Kwa taarifa yako ombi la Kenyatta kwa SADC limekataliwa. Its official..
Soma vizuri kenyatta wapo wawili
 
NairobiWalker, hampati kitu kagombeeni AU nyie puppet nation.
Amina being the AU chair doesn't change anything about Kenya. As much as the president will mention her name and ask for support whenever he visits AU member states, it is not a do or die thing. You guys should stop obsessing over it.
 
We need a true PAN AFRICANIST to lead that organization; if I had my way THABO MBEKI would have been my choice!!
 
NairobiWalker, ati nn anataka kujiendeleza? Asubiri Agombee Urais Kenya mwaka kesho! Unajua majukumu ya AU chair?

Hatutaki kibaraka pale kipindi hichi. Msahau kabisa hilo! The EU wamemtuma agombee ili wakamilishe ukoloni wao mamboleo Africa kiurahisi.
 
I'm worrying if she even understands the continent quest basing on historical epoch.
 
just look how she managed to remove us from that tool of the west called ICC without us having to face any backlash or consiquesnces from the west..

Speaking of concequences, do we all remember how the west warned kenya frim electing the two as kenya would face a cold shoulder,.... they dint know there was a secret weapon, sahii hizo nchi za magharibi zanajileta zaidi, There is no better person to lead the AU than Amina right now..... Amina ako na connections kote duniani, and most importantly, she get things done, period! whatever the AU wants she will get it done pronto whithout issuing excuses, whining..... she has shown time and again that she has the ability to build concensus from different parties to rally behind something, which is what the AU needs right now.... kuna vitu vingi hua vinaingelewa pale AU lakini ikija wakati muhimu wa ku build concesus ili kupiga kura , nchi zengine hua zinapotea, zengine zinaanza kupingana...thus not manybthings get done... just ile recent election ya AU chairman, unaona vile west Africa ilijitoa, na nchi zengine hata hazikupiga kura, kama ingekua ni amina ako incharge angekua alishakusanya nchi zote na kutatua shida zao hata kabla uchaguzi ufanyike, that who she is,

Alafu wale watu wanaongelea kuhusu pan-africanism, can you go back na usome what really pan africanism seeks to achieve?????? pan africanism seeks to achieve Unity in Africa.... so how do you unify Africa? through things like economic intergration , opening our boders with each other in africa, helping each other in times of need so that we dont habe to depend on outside forces (in aid and also security -things like African standby force)..... and which countries lead in these things?


the goal of panAfricanism is to achieve one united Africa.... and to seek to remove western or outside domination in Africa, so that africa can be incharge of its ouwn deatiny,resources....etc....... So tell me educated panAfrican, how else are we going to minimise outside influence if not through intergration and interdependence on each other first befor anyone else outside the continent....

compaired to other regions in Africa, EAC is the most intergrated region! even with our problems... Angalia nchi kubwa kubwa kama kina Nigeria,SA,Algeria,Egypt, ni nini wanacho kifanya kwa sasa kuunganisha Africa????? nada! wanatafuta kuendelea kujitajirisha tu, wanakumbuka kusema panAfrica wakati kampuni zao zinataka kuingia nchi yako, tusidanganyane hapa... tukianza ku impliment Agenda yote ya AU2063, tanzania ndo itakua ya mwisho ku sign huo mkataba....
panAfricanism in theory sounds pure and priceless, but in practice, hapo ndo shida zinaanza, do you know one way the AU agreed inorder to achieve a united Africa all regional bodes need to complete intergrating within themselves first.... so waTz are you ready?????

Soma hapa the whole idea behind Agenda 2063 na panAfricanism ama african rennaisance

Above all, member states had agreed on a common vision “to build an integrated, prosperous and peaceful Africa, driven and managed by its own citizens and representing a dynamic force in the global arena. ”AGENDA 2063 AND ITS CONCEPT: EMBARKING ON IMPLEMENTING THE DEVELOPMENT AGENDA - The African Sun Times




Whichi c
 
Back
Top Bottom