Kenya: Pacha wawili waomba kuolewa na mwanaume mmoja ili wasitenganishwe. Jamaa akubali kuwaoa

Hawana gharama hawa unajenga nyumba moja tu, ndani unaweka mchele kilo 100, unga kilo 50 inabaki kazi ya kutafuta mboga na kubadilisha chakula siku mojamoja.

Sijapenda tu style yao ya kusuka wangesuka twende kilioni wangependeza sana.
Umeandika vizuri sana ila umekosea kwenye style ya nywele, kwa hivyo vichwa "Asante Msusi" au kwa mbaali "Shangazi kainama" ndio ingependeza
 
Sawa, lakini Sasa huyo kijana mwenyewe shughuli anaiweza? Au ndio watoto wa watu watakua wanagombania kuwahi kuwa wa kwanza. Uhakika wa kurudia zoezi mtihani Kwa vijana wetu.
Atapata usaidizi mabinti wamesimama sana kijana yupo nyolonyolo, atajiju akishindwa kazi wadau wapo fursa ya kugonga nyamnyam mbili tena pacha aauweee
 
Hawana gharama hawa unajenga nyumba moja tu, ndani unaweka mchele kilo 100, unga kilo 50 inabaki kazi ya kutafuta mboga na kubadilisha chakula siku mojamoja.

Sijapenda tu style yao ya kusuka wangesuka twende kilioni wangependeza sana.
Mbona wa mbele kama mwembamba vile Jelous down there are beautiful, huyu jamaa anakula vinono,je yaliyomo yamo?
 
Kazi anayo na MUNGU wake , tamaa zake zitamfikisha anapotaka kwa nini asitafute mwanamke mwingine
 
Atapata usaidizi mabinti wamesimama sana kijana yupo nyolonyolo, atajiju akishindwa kazi wadau wapo fursa ya kugonga nyamnyam mbili tena pacha aauweee
Hiyo ni fursa mjukuu? Hiyo kitu hauwezi kushindana nayo, ukishalitambua hilo unaona kwamba kikubwa ni starehe na sio kukomoana.
 
Kula mema ya nchi ili usitusumbue uzeeni babu😅😅😅
 
Unataka nifie kwenye kifua Cha watu Kapeace ? Mie tayari ni Mzee...

Nawaza tu inamaana hawa jamaa set Moja inapokya ipo kwenye mechi, huyu Binti mwingine anakua nafanya nini na hali yake inakuaje? Au kijana anakua anaonjaonja pote kama ana ana ana do Kisha itategemea atamalizia wapi dakika 90 za mchezo?
 
Inachezwa 3some hapo babu halafu huu uzee mbona umekuja ghafla, siku jf mmeleta katabia kakujiita wazee sijui ili tuwaogope au tuwaamini nyie watuuuuuuu🙌🙌
 
Hiyo tasnia ya mzabzab na Evelyn Salt ndio hua naona wanaongelea ongelea sana hayo mambo.

Mbona kitambo tu mjukuu jua lishazama? Wakati umepita tumewaachia vijana heka heka
 
Kazi anayo na MUNGU wake , tamaa zake zitamfikisha anapotaka kwa nini asitafute mwanamke mwingine
Vijana wana nguvu lakini huko mbeleni wata msumbua, kwasasa ni akili za kitoto zenye hisia za kupenda kunyumbulika nyumbulika, ni vijana wadogo matamanio ya kimwili ndiyo muda wake
 
Hiyo tasnia ya mzabzab na Evelyn Salt ndio hua naona wanaongelea ongelea sana hayo mambo.

Mbona kitambo tu mjukuu jua lishazama? Wakati umepita tumewaachia vijana heka heka
Kwahiyo hao ndo wana wa 3some eeh!! Wanafaidi sana,

Huna ubabu wowote acheni kutunyima ambavyo hatujawaomba🙊🙊
 
Back
Top Bottom