Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Umeandika vizuri sana ila umekosea kwenye style ya nywele, kwa hivyo vichwa "Asante Msusi" au kwa mbaali "Shangazi kainama" ndio ingependezaHawana gharama hawa unajenga nyumba moja tu, ndani unaweka mchele kilo 100, unga kilo 50 inabaki kazi ya kutafuta mboga na kubadilisha chakula siku mojamoja.
Sijapenda tu style yao ya kusuka wangesuka twende kilioni wangependeza sana.