Kenya: Padri afia hotelini akiwa na Mwanamke anayehisiwa kuwa mpenzi wake

Kenya: Padri afia hotelini akiwa na Mwanamke anayehisiwa kuwa mpenzi wake

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Joseph Kariuki Wanjiku (43) aliyekuwa Padri wa Kanisa katoliki, Parokia ya Mtakatifu Paulo, Jimbo Kuu la Nairobi, ameripotiwa kufariki baada ya kupoteza fahamu katika hoteli moja kaunti ya Murang'a, alipokuwa amepumzika na Mwanamke wa miaka 32 anayetajwa kuwa mpenzi wake na mfanyakazi mwenzie Parokiani

Taaarifa ya Polisi imedai kuwa wawili hao waliingia Hotelini siku ya Ijumaa (Julai 7 usiku) kwa mapumziko, na ilipofika Julai 8, Saa 8 usiku, Mwanamke huyo aliwaarifu wasimamizi wa hoteli hiyo kwamba Kariuki alikuwa akipata kizunguzungu na kupoteza fahamu, ambapo alifariki dunia kabla ya kufikishwa hospitali

Taarifa zaidi zinadai kuwa Mwili wa Karuki ulikutwa ukiwa umefunikwa nusu na shuka la kitanda cha hoteli, huku povu jeupe likitoka mdomoni na puani

........

A catholic priest, who served as a parish priest St. Peter's Church in Ruai has been reported dead after being unconscious in a hotel in Murang'a County.
According to a police report, Fr. Joseph Kariuki Wanjiku, 43, checked into the hotel on Friday night accompanied by a 32-year-old female.

"One Joseph Kariuki Wanjiku a k/m/a aged 43yrs old, a Catholic priest at Archdiocese of Nairobi and a farmer at Mangu area checked in at the said hotel together with his girlfriend who also happens to be her colleague at the workplace in Ruai," it read in part.

Around 8 am on Saturday, the lady is said to have notified the hotel's management that Kariuki was getting dizzy and unconscious, which prompted a visit to a nearby hospital.

"They then rushed him to Kenol hospital where he was pronounced dead on arrival while still aboard his motor vehicle Toyota Harrier black in colour," the report further read.

Police say that Fr. Karuki's body was found half-covered with a hotel bed sheet and white foam oozed from the mouth and nose.

The body has been moved to Mater Hospital mortuary in Nairobi pending autopsy and further police action.

Source: Citizen Digital
 
Kama ni kweli basi ni hatari sana.Kuna vijiswali hapa:-
-Je,bw.Kariuki alikuwa mgonjwa kabla ya umauti kumkuta?
-Hakuna hujuma dhidi yake za kumuua?(mwanamke aliyekuwa naye?)
-Huyo bibie hakuwa mke wa mtu?
-Alitumia dawa ya aina yoyote kabla hajaingia uzinzini huyo marehemu?
-Was the "girl" so sweet that Kariuki couldn't tolerate the sweetness?
Ni maswali tu.😂😂😂😂
 
Naongezea kaswali tu mkuu;
- Je, Fr. Kariuki ni mara ya ngapi kufikia Hotelini hapo?
-Je, huko Parokiani alikokuwa ni mhudumu aliondoka saa ngapi na kwa utaratibu upi?
Ni hayo tu.
 
Screenshot_20230616-210314.jpg
 
Kama ni kweli basi ni hatari sana.Kuna vijiswali hapa:-
-Je,bw.Kariuki alikuwa mgonjwa kabla ya umauti kumkuta?
-Hakuna hujuma dhidi yake za kumuua?(mwanamke aliyekuwa naye?)
-Huyo bibie hakuwa mke wa mtu?
-Alitumia dawa ya aina yoyote kabla hajaingia uzinzini huyo marehemu?
-Was the "girl" so sweet that Kariuki couldn't tolerate the sweetness?
Ni maswali tu.😂😂😂😂
Wabongo wape headlines....mpaka majibu ya postmortem utapata.
 
Back
Top Bottom