Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Na uzuri wa Mapadri wanahonga hao balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama alipewa sumu?Joseph Kariuki Wanjiku (43) aliyekuwa Padri wa Kanisa katoliki, Parokia ya Mtakatifu Paulo, Jimbo Kuu la Nairobi, ameripotiwa kufariki baada ya kupoteza fahamu katika hoteli moja kaunti ya Murang'a, alipokuwa amepumzika na Mwanamke wa miaka 32 anayetajwa kuwa mpenzi wake na mfanyakazi mwenzie Parokiani
Taaarifa ya Polisi imedai kuwa wawili hao waliingia Hotelini siku ya Ijumaa (Julai 7 usiku) kwa mapumziko, na ilipofika Julai 8, Saa 8 usiku, Mwanamke huyo aliwaarifu wasimamizi wa hoteli hiyo kwamba Kariuki alikuwa akipata kizunguzungu na kupoteza fahamu, ambapo alifariki dunia kabla ya kufikishwa hospitali
Taarifa zaidi zinadai kuwa Mwili wa Karuki ulikutwa ukiwa umefunikwa nusu na shuka la kitanda cha hoteli, huku povu jeupe likitoka mdomoni na puani
........
A catholic priest, who served as a parish priest St. Peter's Church in Ruai has been reported dead after being unconscious in a hotel in Murang'a County.
According to a police report, Fr. Joseph Kariuki Wanjiku, 43, checked into the hotel on Friday night accompanied by a 32-year-old female.
"One Joseph Kariuki Wanjiku a k/m/a aged 43yrs old, a Catholic priest at Archdiocese of Nairobi and a farmer at Mangu area checked in at the said hotel together with his girlfriend who also happens to be her colleague at the workplace in Ruai," it read in part.
Around 8 am on Saturday, the lady is said to have notified the hotel's management that Kariuki was getting dizzy and unconscious, which prompted a visit to a nearby hospital.
"They then rushed him to Kenol hospital where he was pronounced dead on arrival while still aboard his motor vehicle Toyota Harrier black in colour," the report further read.
Police say that Fr. Karuki's body was found half-covered with a hotel bed sheet and white foam oozed from the mouth and nose.
The body has been moved to Mater Hospital mortuary in Nairobi pending autopsy and further police action.
Source: Citizen Digital
Hakuna mwanaume anaweza kusikia utamu wa Dem mpka akakata moto kasumba hii wanayo wadada.Kama ni kweli basi ni hatari sana.Kuna vijiswali hapa:-
-Je,bw.Kariuki alikuwa mgonjwa kabla ya umauti kumkuta?
-Hakuna hujuma dhidi yake za kumuua?(mwanamke aliyekuwa naye?)
-Huyo bibie hakuwa mke wa mtu?
-Alitumia dawa ya aina yoyote kabla hajaingia uzinzini huyo marehemu?
-Was the "girl" so sweet that Kariuki couldn't tolerate the sweetness?
Ni maswali tu.😂😂😂😂
Madaktari, Wanakemia na Polisi ndo uwanja wao waoneshe weledi katika Utaalam wao.Mbona kama alipewa sumu?
Wapo wenye wake wanne na bado Wana mpango wa kando.Kuoa sio suluhishoWaruhusiwe kuoa au waachane na hiyo KAZI ni wachache Sana wanaoweza kujizuia
Exactly.Wapo wenye wake wanne na bado Wana mpango wa kando.Kuoa sio suluhisho
The last oneKama ni kweli basi ni hatari sana.Kuna vijiswali hapa:-
-Je,bw.Kariuki alikuwa mgonjwa kabla ya umauti kumkuta?
-Hakuna hujuma dhidi yake za kumuua?(mwanamke aliyekuwa naye?)
-Huyo bibie hakuwa mke wa mtu?
-Alitumia dawa ya aina yoyote kabla hajaingia uzinzini huyo marehemu?
-Was the "girl" so sweet that Kariuki couldn't tolerate the sweetness?
Ni maswali tu.😂😂😂😂
Lipo, unataka nikutajie? Hadi umriJina la mwanamke limekosekana?? Anyway polen wafiwa.
Wewe ni padri?Mhh! mbona wengi tumo humo-humo sema tu ni kwamba hatujanaswa.
Kwahiyo suluhisho ni nini? Anayeasa watu waache uzinzi kafia kwenye uzinzi. Na ingekuwa bongo isingejulikana kabisa huku wanafichiana siri sanaWapo wenye wake wanne na bado Wana mpango wa kando.Kuoa sio suluhisho
Padri alichukua sura ya kazi sana, hakuona vyombo
Wadada wanasema mapadri wanahonga sanaPadri katisha