DuuuHaikuwa rahisi....[emoji2960]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuuHaikuwa rahisi....[emoji2960]
Mi mwenyewe nina hamu ya kutoka na padriWadada wanasema mapadri wanahonga sana
Aliingia na fedha kiasi gani na amekutwa na kiasi gani mfukoniKama ni kweli basi ni hatari sana.Kuna vijiswali hapa:-
-Je,bw.Kariuki alikuwa mgonjwa kabla ya umauti kumkuta?
-Hakuna hujuma dhidi yake za kumuua?(mwanamke aliyekuwa naye?)
-Huyo bibie hakuwa mke wa mtu?
-Alitumia dawa ya aina yoyote kabla hajaingia uzinzini huyo marehemu?
-Was the "girl" so sweet that Kariuki couldn't tolerate the sweetness?
Ni maswali tu.😂😂😂😂
Weeee! Usiwatie watumishi wa bwana kwenye vishawishiMi mwenyewe nina hamu ya kutoka na padri
Kweli tena, kama kuna padri yoyote humu jf aje pm tuyajenge. Nahitaji kufanyiwa kitubioWeeee! Usiwatie watumishi wa bwana kwenye vishawishi
Huo ushauri wako unatumia takwimu zipi kufanya ulinganifu?Waruhusiwe kuoa au waachane na hiyo KAZI ni wachache Sana wanaoweza kujizuia
Gazeti la Nation ndio wameenda mbali zaidiNaongezea kaswali tu mkuu;
- Je, Fr. Kariuki ni mara ya ngapi kufikia Hotelini hapo?
-Je, huko Parokiani alikokuwa ni mhudumu aliondoka saa ngapi na kwa utaratibu upi?
Ni hayo tu.
Kama kuna Padri hawekiii nioneshee nikulipee... Hayupoo hayupooo HAYUPOOO..!Huo ushauri wako unatumia takwimu zipi kufanya ulinganifu?
Unaposema waruhusiwe kuoa kwani wakati anajiunga hakuujua utaratibu?
Mtaani ambako watu wameoa na still aither wanabaka au wanaingiliwa kunyume cha maumbile unawapa ushauri gani?
Usijiamini sana kwa story za vijiweni. Uzinzi ni tabia tu ambayo si kila mtu anaiendekeza.Kama kuna Padri hawekiii nioneshee nikulipee... Hayupoo hayupooo HAYUPOOO..!
Padre nae mtu , upwiro hauna diniJoseph Kariuki Wanjiku (43) aliyekuwa Padri wa Kanisa katoliki, Parokia ya Mtakatifu Paulo, Jimbo Kuu la Nairobi, ameripotiwa kufariki baada ya kupoteza fahamu katika hoteli moja kaunti ya Murang'a, alipokuwa amepumzika na Mwanamke wa miaka 32 anayetajwa kuwa mpenzi wake na mfanyakazi mwenzie Parokiani
Taaarifa ya Polisi imedai kuwa wawili hao waliingia Hotelini siku ya Ijumaa (Julai 7 usiku) kwa mapumziko, na ilipofika Julai 8, Saa 8 usiku, Mwanamke huyo aliwaarifu wasimamizi wa hoteli hiyo kwamba Kariuki alikuwa akipata kizunguzungu na kupoteza fahamu, ambapo alifariki dunia kabla ya kufikishwa hospitali
Taarifa zaidi zinadai kuwa Mwili wa Karuki ulikutwa ukiwa umefunikwa nusu na shuka la kitanda cha hoteli, huku povu jeupe likitoka mdomoni na puani
........
A catholic priest, who served as a parish priest St. Peter's Church in Ruai has been reported dead after being unconscious in a hotel in Murang'a County.
According to a police report, Fr. Joseph Kariuki Wanjiku, 43, checked into the hotel on Friday night accompanied by a 32-year-old female.
"One Joseph Kariuki Wanjiku a k/m/a aged 43yrs old, a Catholic priest at Archdiocese of Nairobi and a farmer at Mangu area checked in at the said hotel together with his girlfriend who also happens to be her colleague at the workplace in Ruai," it read in part.
Around 8 am on Saturday, the lady is said to have notified the hotel's management that Kariuki was getting dizzy and unconscious, which prompted a visit to a nearby hospital.
"They then rushed him to Kenol hospital where he was pronounced dead on arrival while still aboard his motor vehicle Toyota Harrier black in colour," the report further read.
Police say that Fr. Karuki's body was found half-covered with a hotel bed sheet and white foam oozed from the mouth and nose.
The body has been moved to Mater Hospital mortuary in Nairobi pending autopsy and further police action.
Source: Citizen Digital
Mkuu,kwani Mapadri kutokuruhusiwa kuoa ni amri ya Mungu au ni amri ya Binadamu tu ambae ameamua kuimplement hiyo sheria kwa wenzake?Mapadre waruhusiwe tu kuoa.
Kitu nyege haina tiba zaidi ya kukutana kimwili na mwanamke.
Mwanamme anayekula vizuri (mapadre wanakula vizuri Sana)
Mwanamme asiyefanya kazi ngumu lazima awaze k piga ua garagaza.
Celibacy Ni dhana ya kufikirika tu. Hata hao maaskofu wasitudanganye, mbaya zaidi wanawafanya Sana vijana wa kiume wanaosomea komunyo.
Hayo ni matatizo ya kujitakia, Baba wa Imani ibrahim alio vizuri kabisaaaMkuu,kwani Mapadri kutokuruhusiwa kuoa ni amri ya Mungu au ni amri ya Binadamu tu ambae ameamua kuimplement hiyo sheria kwa wenzake?
Lengo la mapadri kutokuruhusiwa kuoa ni lipi? Je wakioa kitu gani kitaadhirika kwenye usimamizi wa dini yao?
Wewe juaa hakuna padri asiegongaaaa...mengine ya kuliwa tope utajua mwenyewe.Usijiamini sana kwa story za vijiweni. Uzunzi ni tabia tu ambayo si kila mtu anaiendekeza. Watu wapenda kuongea kishabiki na kimkumbo kwa dizaini hiyo kuna siku mtakuja kusema hakuna mwanaume asiyegeuzwa.
Niliweka angalizo tu, ila Siwezi nikakubishia. Mimi ni nani hata nibishe wakati anayesisitiza huenda ni mhanga wa Mapadre. Maana watu mna mengi mioyoni.Wewe juaa hakuna padri asiegongaaaa...mengine ya kuliwa tope utajua mwenyewe.