Kenya: Padri afia hotelini akiwa na Mwanamke anayehisiwa kuwa mpenzi wake

wawaruhusuu tuu wawekeee vitu kuliko kuwatendesha dhambi watumishi wa Mungu...!
Utaratibu upo wazi, it's not a suprise. Kwanini msiwashauri kuwa kama hawawezi kufuata masharti wasijiunge? Pia utaratibu unamruhusu kuondoka akiamua kwanini mlazimishe taratibu zibadilishwe?
Makazini kuna taratibu nyingi lakini watu hulazimika kuzifuata ili kuendana jamii ile, nak9 mtataka zibadilishwe ili kila mtu afanye atakacho?
 
hapana zinabadilishwa ili wasifanye kwa kifichoo..
 
Huo ushauri wako unatumia takwimu zipi kufanya ulinganifu?
Unaposema waruhusiwe kuoa kwani wakati anajiunga hakuujua utaratibu?
Mtaani ambako watu wameoa na still aither wanabaka au wanaingiliwa kunyume cha maumbile unawapa ushauri gani?
Sasa km mtaani watu wameoa na wanabaka kwa kiwango hiki tunachokiona, unadhani ingekatazwa kuoa watu wangebakana kwa kiwango gani ?
Pengin hata wewe ungeingia kwenye genge la wabakaji.

Na siku NDOA ikipigwa marufuku nakuhakikishia 95% ya watu wazima watabaka, 05% ndo watasalimika.

Kwa kifupi ndoa inapunguza tamaa ya moyo kwa zaidi ya 90%, asilimia zinazobaki ni uimara wa moyo wa mtu.
 
Padre hatakiwi kuoa, hivyo tangu awali wanakua na maamuzi ya kutojiunga upadre, pia wangeweza kuuacha upadre kama alivyofanya Dr. Slaa.
WA aina hiyo hata wakioa bado watabaka. So siyo wa kuwatetea
 
Jamani hii kitu, hii kitu, hii kitu, hii kitu hii ..... hii kitu hii ..... hii kitu hii ......
We acha tu....!
Staki kuudhi watu lakini nimalizie tu kwa kusema kuwa mbele ya mbunye kila goti litapigwa.
Asanteni kwa kunisikiliza.
 
Back
Top Bottom