Kenya: Padri afia hotelini akiwa na Mwanamke anayehisiwa kuwa mpenzi wake

Waruhusiwe kuoa au waachane na hiyo KAZI ni wachache Sana wanaoweza kujizuia
Kuruhusiwa kuoa siyo solution kama mtu ni mzinzi ni mzinzi tu,yupo jamaa mwaka 2012 alifia guest Tandika akiwa na mke wa mpangaji mwenzake na alikuwa na wake watatu amewaacha nyumbani.

Hao ni kama mimi na wewe,wewe unaweza kutulia na mke mmoja mimi natangatanga yupo mwenzetu hafanyi ngono ni matokeo duniani usi-panic
 
Kuuishi useja ni mtihani mgumu kwa Mapadri wengi wa RC. Nasema hivi kwa sababu nimeishi Seminarini kwa miaka mingi.

I wish na wenyewe wangepewa uhuru wa kuchagua kuoa, au kubakia kuwa waseja.
 
KENYA; Joseph Kariuki Wanjiku (43) aliyekuwa Padri wa kanisa katoliki, Parokia ya Mtakatifu Paulo, Jimbo kuu la Nairobi, ameripotiwa kufariki baada ya kupoteza fahamu katika hoteli moja iliyopo Kaunti ya Murang'a, alipokuwa amepumnzika na mwanamke wa miaka 32 anayetajwa kuwa mpenzi wake na mfanyakazi mwenzake parokiani.

Taarifa ya Polisi imedai kuwa wawili hao waliingia hotelini siku ya Ijumaa (Julai 7 usiku) kwa mapumnzoko, na ilipofika Julai 8 saa 8 usiku mwanamke wake alitoa taarifa kwa wahudumu wa hoteli hiyo kuwa Wanjiku alikuwa akipata kizunguzungu na kupoteza fahamu, ambapo alifariki dunia kabla ya kufikishwa Hospitalini.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa mwili wa Padri huyo ulikutwa umefunikwa nusu na shuka la kitanda cha hoteli hiyo, huku povu jeupe likitoka puani na mdomoni.
 
Alikuwa
 
Viagra ktk ubora wake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
RIP padre.
 
Wangeruhusiwaga tu mapadre kuoa na kuolewa masister. Tangu nipo mdogo nasikia kashfa za mapadre kuwa na watoto na wanawake mitaani. Siku moja morogoro nilimshuhudia sister akizama lodge na jamaa tena bila haya akiwa kwenye uniform zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…