Kenya: Padri afia hotelini akiwa na Mwanamke anayehisiwa kuwa mpenzi wake

Aliingia na fedha kiasi gani na amekutwa na kiasi gani mfukoni
 
Mapadre waruhusiwe tu kuoa.
Kitu nyege haina tiba zaidi ya kukutana kimwili na mwanamke.
Mwanamme anayekula vizuri (mapadre wanakula vizuri Sana)
Mwanamme asiyefanya kazi ngumu lazima awaze k piga ua garagaza.
Celibacy Ni dhana ya kufikirika tu. Hata hao maaskofu wasitudanganye, mbaya zaidi wanawafanya Sana vijana wa kiume wanaosomea komunyo.
 
Waruhusiwe kuoa au waachane na hiyo KAZI ni wachache Sana wanaoweza kujizuia
Huo ushauri wako unatumia takwimu zipi kufanya ulinganifu?
Unaposema waruhusiwe kuoa kwani wakati anajiunga hakuujua utaratibu?
Mtaani ambako watu wameoa na still aither wanabaka au wanaingiliwa kunyume cha maumbile unawapa ushauri gani?
 
Kama kuna Padri hawekiii nioneshee nikulipee... Hayupoo hayupooo HAYUPOOO..!
 
Kama kuna Padri hawekiii nioneshee nikulipee... Hayupoo hayupooo HAYUPOOO..!
Usijiamini sana kwa story za vijiweni. Uzinzi ni tabia tu ambayo si kila mtu anaiendekeza.
Watu wapenda kuongea kishabiki na kimkumbo, kwa dizaini hiyo kuna siku mtakuja kusema hakuna mwanaume asiyegeuzwa. Kisa kuna amnao mnajua wanageuzwa
 
Padre nae mtu , upwiro hauna dini
 
Mkuu,kwani Mapadri kutokuruhusiwa kuoa ni amri ya Mungu au ni amri ya Binadamu tu ambae ameamua kuimplement hiyo sheria kwa wenzake?

Lengo la mapadri kutokuruhusiwa kuoa ni lipi? Je wakioa kitu gani kitaadhirika kwenye usimamizi wa dini yao?
 
Hayo ni matatizo ya kujitakia, Baba wa Imani ibrahim alio vizuri kabisaaa
 
Usijiamini sana kwa story za vijiweni. Uzunzi ni tabia tu ambayo si kila mtu anaiendekeza. Watu wapenda kuongea kishabiki na kimkumbo kwa dizaini hiyo kuna siku mtakuja kusema hakuna mwanaume asiyegeuzwa.
Wewe juaa hakuna padri asiegongaaaa...mengine ya kuliwa tope utajua mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…