ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 1,974
- 2,920
Nahisi takwimu zilikuwa zikiongezwa kwa wing I hivi karibuni ili kuonyesha tatizo ni kubwa ili wazitafune vizuri.Ndio mkuu na,wameongezeka.
Kenya wameamua KUPAMBANA na corona ANA KWA ANA.View attachment 1540724
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Nahisi takwimu zilikuwa zikiongezwa kwa wing I hivi karibuni ili kuonyesha tatizo ni kubwa ili wazitafune vizuri
Last time we get updates from tz was when?Ndio mkuu na,wameongezeka..
Kenya wameamua KUPAMBANA na corona ANA KWA ANA.View attachment 1540724
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Last time we get updates from tz was when??
Madaktari hawana PPE huku wanasiasa wanavuna mipesa.Kama huo ugonjwa haupo Tanzania utapewa takwimu za ugonjwa gani? Wamekufa wakenya 487 bado 13 wafike 500. View attachment 1541736
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Madaktari hawana PPE huku wanasiasa wanavuna mipesa
Kenya hawawezi kumaliza matatizo yao Bila kututajaga [emoji32][emoji32][emoji32] Hela za covid wanazilaaa na kutangazaa data fake ilii wazidi kupewaa pesaaa kwenye matatizo ndipo kwenye Fursa.
Ukishidwa kufanya jambo wacha kutupea ubaya wake.Kama huo ugonjwa haupo Tanzania utapewa takwimu za ugonjwa gani? Wamekufa wakenya 487 bado 13 wafike 500. View attachment 1541736
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ukishidwa kufanya jambo wacha kutupea ubaya wake.
Your president can not fake anything.
Na uzuri hawakimbii nchi wanazitumia humo humo. Kuna Mama Mmoja alikua CS -Devolution akapiga hela za NYS Sasa Ni Gavana safiii. Walifanya drama kumpeleka mahakaman ila watu washahau maisha yanaendelea.Ha ha Kenya wazee wa fursaaa
Very soon will be another SomaliaThat's a failed state
Miccm puppets naona mpo busy na Kenya hata kutuliko sisi waKenya.Kweli nyie ni washenzi sana zero brains.Niko sure hata hamjui vile serikali yenu inavyotafuna pesa zenu.Ua govt is looting public funds pamoja huyo dictator wenu.Jaribuni kufuatilia yenu kushinda ya jirani.Wajinga nyieVery soon will be another Somalia
Pole sana bwana mdogo Kenya 2022 election ndio utajua kuwa ni failed state. Mnajifanya well educated wakati Uhuru Kenyatta amewafanya mateka wa Cov19 curfew after curfew kwa maslahi yake ya kisiasa dhidi ya Ruto. Hii Cov19 hata ukiweka curfew utapata tu hapa bongo imekuwa historia kabisa.Miccm puppets naona mpo busy na Kenya hata kutuliko sisi waKenya.Kweli nyie ni washenzi sana zero brains.Niko sure hata hamjui vile serikali yenu inavyotafuna pesa zenu.Ua govt is looting public funds pamoja huyo dictator wenu.Jaribuni kufuatilia yenu kushinda ya jirani.Wajinga nyie
Yaani mpaka munajua magavana wetu wakati hata Kenya hatujui naibu wa rais wenu kweli munafatilia mambo ya Kenya sana.I now know how u guyz follow our country so much.Yaani mko obsessed na Taifa letuPole sana bwana mdogo Kenya 2022 election ndio utajua kuwa ni failed state. Mnajifanya well educated wakati Uhuru Kenyatta amewafanya mateka wa Cov19 curfew after curfew kwa maslahi yake ya kisiasa dhidi ya Ruto. Hii Cov19 hata ukiweka curfew utapata tu hapa bongo imekuwa historia kabisa.
Ingefaa uwaite hao wanaoiba fedha za Cov19 washenzi ama baba yako among them ?
Hapa Tanzania mambo safi sana under Rais Magufuli ukiiba hata kama wewe ni Waziri unaenda lupango lakini huko Kenya nasikia Magavana Obado, Waititu, Waiguru wanaiba lakini bado wanadunda mitaani.
Karibu sana Tanzania kwa kiongozi shupavu Rais Magufuli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani
Yaani mpaka munajua magavana wetu wakati hata Kenya hatujui naibu wa rais wenu kweli munafatilia mambo ya Kenya sana.I now know how u guyz follow our country so much.Yaani mko obsessed na Taifa letu