Pole sana bwana mdogo Kenya 2022 election ndio utajua kuwa ni failed state. Mnajifanya well educated wakati Uhuru Kenyatta amewafanya mateka wa Cov19 curfew after curfew kwa maslahi yake ya kisiasa dhidi ya Ruto. Hii Cov19 hata ukiweka curfew utapata tu hapa bongo imekuwa historia kabisa.
Ingefaa uwaite hao wanaoiba fedha za Cov19 washenzi ama baba yako among them ?
Hapa Tanzania mambo safi sana under Rais Magufuli ukiiba hata kama wewe ni Waziri unaenda lupango lakini huko Kenya nasikia Magavana Obado, Waititu, Waiguru wanaiba lakini bado wanadunda mitaani.
Karibu sana Tanzania kwa kiongozi shupavu Rais Magufuli