Kenya: Pesa ya COVID inatafunwa bila huruma

Kenya: Pesa ya COVID inatafunwa bila huruma

Kama huo ugonjwa haupo Tanzania utapewa takwimu za ugonjwa gani?

Wamekufa wakenya 487 bado 13 wafike 500.
Last time we get updates from tz was when??
Screenshot_20200819-064728.jpg

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kenya hawawezi kumaliza matatizo yao Bila kututajaga[emoji32][emoji32][emoji32] Hela za covid wanazilaaa na kutangazaa data fake ilii wazidi kupewaa pesaaa kwenye matatizo ndipo kwenye Fursa.
 
Kenya hawawezi kumaliza matatizo yao Bila kututajaga [emoji32][emoji32][emoji32] Hela za covid wanazilaaa na kutangazaa data fake ilii wazidi kupewaa pesaaa kwenye matatizo ndipo kwenye Fursa.

Data zao zinazid kupaa
 
Ha ha Kenya wazee wa fursaaa
Na uzuri hawakimbii nchi wanazitumia humo humo. Kuna Mama Mmoja alikua CS -Devolution akapiga hela za NYS Sasa Ni Gavana safiii. Walifanya drama kumpeleka mahakaman ila watu washahau maisha yanaendelea.
 
Very soon will be another Somalia
Miccm puppets naona mpo busy na Kenya hata kutuliko sisi waKenya.Kweli nyie ni washenzi sana zero brains.Niko sure hata hamjui vile serikali yenu inavyotafuna pesa zenu.Ua govt is looting public funds pamoja huyo dictator wenu.Jaribuni kufuatilia yenu kushinda ya jirani.Wajinga nyie
 
Moja sehemu zina upigaji mkubwa basi ni kenya serikali nzima iko ki personal interest yani sio President wala deputy wake wote ni mabilionea tena wazi wazi na wala hawajali, Mfumo top ukishakuwa wakipigaji hata wa layer za chini lazima wapige mwisho wa siku kenya wanajenga taifa linaloamini Rushwa ni kitu cha kawaida sana Kuna DPP wao Nurdin haji na DCI kinoti walijaribu kugusa interest za vipoba ila wamezimaa huwasiki tena wakiongelea grand project ambazo zinanuka rushwa kubwa
 
Miccm puppets naona mpo busy na Kenya hata kutuliko sisi waKenya.Kweli nyie ni washenzi sana zero brains.Niko sure hata hamjui vile serikali yenu inavyotafuna pesa zenu.Ua govt is looting public funds pamoja huyo dictator wenu.Jaribuni kufuatilia yenu kushinda ya jirani.Wajinga nyie
Pole sana bwana mdogo Kenya 2022 election ndio utajua kuwa ni failed state. Mnajifanya well educated wakati Uhuru Kenyatta amewafanya mateka wa Cov19 curfew after curfew kwa maslahi yake ya kisiasa dhidi ya Ruto. Hii Cov19 hata ukiweka curfew utapata tu hapa bongo imekuwa historia kabisa.
Ingefaa uwaite hao wanaoiba fedha za Cov19 washenzi ama baba yako among them ?
Hapa Tanzania mambo safi sana under Rais Magufuli ukiiba hata kama wewe ni Waziri unaenda lupango lakini huko Kenya nasikia Magavana Obado, Waititu, Waiguru wanaiba lakini bado wanadunda mitaani.
Karibu sana Tanzania kwa kiongozi shupavu Rais Magufuli
 
Yaani

Yaani mpaka munajua magavana wetu wakati hata Kenya hatujui naibu wa rais wenu kweli munafatilia mambo ya Kenya sana.I now know how u guyz follow our country so much.Yaani mko obsessed na Taifa letu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom