Kenya: Pesa ya COVID inatafunwa bila huruma

Kenya: Pesa ya COVID inatafunwa bila huruma

Lazima wawe na mabilionea wa kutosha
Bandari ya Mombasa ipo njiani kumilikiwa na wachina.mtabaki na mabilionea waporaji, Tanzania hapana utaitolea tundu lolote.tena tunataka adhabu ya kifo kwa serious fraud kwani umesababisha vifo vya watu wengi.kama mnavyojaza ICU nafaai hakua Khali fedha za kusaidia wamepora wakikuyu.
Tanzania vijijini 90%+ hawajui Covid 19 na hawataki serikali kukopa kwa ajili hiyo.
Je uko Kenya imetapakaa mpaka kusabisha watu vijijini kuhusika huo ukopaji na ulipaji ?
 
Screenshot_20210327-182834_1.jpg
 
5.7 bn USD zinatosha kununua benki ngapi Congo DR, South Sudan na Somalia? Wazee wa deals KIQUYUz
 
Back
Top Bottom