Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Hivi ule Mkopo wa kujenga reli wameanza kuulipa? Ha ha ha!Jamaa kaenda kukopa tena France (kavaa na barakoa) ili waje wazitafune Kama kawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ule Mkopo wa kujenga reli wameanza kuulipa? Ha ha ha!Jamaa kaenda kukopa tena France (kavaa na barakoa) ili waje wazitafune Kama kawa.
Huo ndio utaratibu wa makaburu. Wanashirikiana kuiba na viongozi vibaraka wa makaburu, lakini wakenya watalipa deni na riba juu. Halafu walalahoi wanashangilia kupimwa covid 19 kama mchezo wa kuigiza.Ndo maana kutwa kubwabwaja data za kupika ili Mabeberu waendelee kumwaga mihela ya kubumba.
MmhhHuo ndio utaratibu wa makaburu. Wanashirikiana kuiba na viongozi vibaraka wa makaburu, lakini wakenya watalipa deni na riba juu. Halafu walalahoi wanashangilia kupimwa covid 19 kama mchezo wa kuigiza.
Sure. Ndo maana RAO anaombewa kiti maalumLazima wawe na mabilionea wa kutosha
Bandari ya Mombasa ipo njiani kumilikiwa na wachina.mtabaki na mabilionea waporaji, Tanzania hapana utaitolea tundu lolote.tena tunataka adhabu ya kifo kwa serious fraud kwani umesababisha vifo vya watu wengi.kama mnavyojaza ICU nafaai hakua Khali fedha za kusaidia wamepora wakikuyu.Lazima wawe na mabilionea wa kutosha
Hatimaye, disco kaingia mmasaiHuo ndio utaratibu wa makaburu. Wanashirikiana kuiba na viongozi vibaraka wa makaburu, lakini wakenya watalipa deni na riba juu. Halafu walalahoi wanashangilia kupimwa covid 19 kama mchezo wa kuigiza.