Kenya Police Special Forces raid Alshabaab camp in Lamu

Kenya Police Special Forces raid Alshabaab camp in Lamu

KDF-BabaYao

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
221
Reaction score
317
Vikosi vya Kenya Police Special forces ( AP SOG and BPU) vilivamia kambi ya wanamgambo wa Alshabaab huko Boni forest,Lamu county.

Magaidi hawa hutumia upana wa msitu huu kufanya mashambulizi yao katika huu msimu wa Krismasi na January kisha kukimbilia Somalia na kurudi wakati wa Iddi tena huko June/July.

Tuliwaambia nyinyi mataga wa ccm na kwamba hamko combat tested, combat experienced or combat proven. Vita vya Kagera visiwadanganye kwamba mwaeza tisha yeyote hapa East Africa.

Mkishindwa huko Mtwara, mtuite tumalize hio kazi
 

Attachments

  • FB_IMG_1609077392243.jpg
    FB_IMG_1609077392243.jpg
    84.3 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1609077384594.jpg
    FB_IMG_1609077384594.jpg
    92.8 KB · Views: 4
Mhh! Hongera zenu ila hapo kwenye mataga na bongolalas ndo umekosea.

Jiangalieni unadhani mlivyofanya hivyo hawajaona jamaa ngoja shambulio lipizi linakuja
Wadhani hii ni operation ya kwanza?

Huyo hapo alishikwa huko Lamu miezi kadhaa iliyopita,mkubwa wao. Kundi lake pia kilipata kipigo.

This time round kikosi cha AP kiko ready.
 

Attachments

  • FB_IMG_1609074523611.jpg
    FB_IMG_1609074523611.jpg
    127.3 KB · Views: 3
Tunawajua nyie.
Mkipigwa mnaona mnaonewa.
Sisi huku tunaenda KIMYA KIMYA.
Ila nyie kwa lawama dunia nzima itajua
But of course, bongoland lazima mtaje Kenya ndio mjulikane mulipo kama nchi.

Anything happens in Kenya and it goes global.
 
Vita vya psych ops hamvijui,nendeni mkavunje matofali.

Hawa ndio wale "wasiojulikana" wetu.
sisi tunapambana kuzia visitokee,ndio sababu tunaimarisha upelelezi na ushushushu.

nyinyi mnajiandaa kupigana nao,hamtawezana nao hao wafia dini daima watawapa hasara.
 
Back
Top Bottom