Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
Kama hana imani na tume basi kafanya jambo jema [kama habari ni ya kweli].
Huku kwetu CHADEMA huwa wanashiriki chaguzi za NEC halafu wakishindwa wanaanza kudai tume haiko huru.
what difference does it make? ku start afresh ni nini? kutabadili nini?Wengine mnamwita kibaraka, wengine mnasema amerahisisha kumpa ushindi Kenyatta. Kwa wale msiong'amua mambo iko hivi: Kwa mujibu wa sheria yao ya uchaguzi (Kenya) kifungu 138 (8) (b) kilichofanyiwa marekebisho mwaka 2013, kujiondoa kwake (Raila) kunamaanisha uchaguzi wote unarudiwa. Yaani they are going to start from afresh.
Kuunga mkono siyo lazima watoe kauli, wanaunga mkono BY CONDUCT. Dr. Shein ndiye Rais wa Zanzibar.CHADEMA wakiunga mkono Kenyatta kutangazwa mshindi pekee baada ya Raila kususa uchaguzi wa marudio CHADEMA PIA wanatakiwa pia waunge mkono dk Shein wa ZANZIBAR kutangazwa mshindi baada ya seif sharrif Hamad kususa.CHADEMA MPOOOOOOO!!!! Mnaona madhara yenu ya kukosa misimamo na kubadili gia angani? Mngesimama na RAILA odinga mngekuwa na msimamo ule ule wa kulaani tume ya uchaguzi ZANZIBAR na kulaaani tume ya uchaguzi Kenya kwa makosa waliyofanya!!! Lakini CHADEMA kwa sasa imekaa kama mizobezobe tu!!!
Its not common sense! Mahakama haikuelekeza hivyo! Huwezi kubadili uongozi na kuleta watu wapya halafu waweze kutimiza matakwa ya kikatiba ya kuandaa uchaguzi ndani ya siku 60 na ugeni huo! Its absolutely uncommon sense instead! Huwezi ukawatuhumu tume halafu ukawaadhibu bila ya kuwasikiliza!That's a lame excuse.
Raila does have some very valid points.
The same people who screwed up the first election can't run the rerun election!
It's just common sense.
Its not common sense! Mahakama haikuelekeza hivyo! Huwezi kubadili uongozi na kuleta watu wapya halafu waweze kutimiza matakwa ya kikatiba ya kuandaa uchaguzi ndani ya siku 60 na ugeni huo! Its absolutely uncommon sense instead! Huwezi ukawatuhumu tume halafu ukawaadhibu bila ya kuwasikiliza!
http://www.nation.co.ke/news/politics/Jubilee--Nasa-engage-high-gear-as-stakes-in-polls-rise-/1064-4140024-l2w22xz/index.html
Alichofanya ni sahihi kabisa kama hana imani na tume ya uchaguzi.
Jambo ambalo nimekuwa nikiwashauri wapinzani wa Tanzania kwa muda mrefu.
Kwa nini mtu ushiriki uchaguzi unaoendeshwa na tume ambayo huna imani nayo?
Huenda kagundua figisu
Anadai anapigania uwepo wa chaguz huru.Ataendelea na maandamanoThat means Uhuru ndo Rais,Sasa Raila hatokaa awe Rais,hakika maji hufuata mkondo.By the way kama hagombei je anakusudia kufanya nini ?