Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utakuwa na upunguani, acha kukaa kwenye vijiwe vinakuharibuTapeli hilo.
Biashara yake kuu ni MADAWA YA KULEVYA.
Huwezi kusikia amefanya uwekezaji wenye tija.
Akiwa ana biashara mahali ujue hicho ni kichaka cha UTAKATISHAJI WA FEDHA ZA MADAWA YA KULEVYA na UHUJUMU UCHUMI.
Rais Samia amefungua kongamanano la wafanyabiashara nchini Kenya ambalo limehusisha pia wafanyabiashara kutoka Tanzania.
Rostam Aziz ametaka uwepo wa uwiano mzuri wa kibiashara kati ya Kenya na Tanzania badala ya nchi moja kuwa msambazaji wa mali ghafi na mwingine akiwa muuzaji wa finished goods, mmoja atafaidika na ajira kwa watu wake na upande mwingine ajira zitakosekana.
Tukio liko mubashara runinga ya Star.
Kazi Iendelee!
Bila shaka na wewe ni mmojawapo wa genge la wahalifu wa madawa ya kulevya.
Sijajua kwanini Umasikini umetufanya tuone kila Tajiri anafanya biashara ya Madawa. Umetuingia mpaka kwenye Ubongo hatuwezi kufikiria kwa kichwa tenaBila shaka na wewe ni mmojawapo wa genge la wahalifu wa madawa ya kulevya.
Kwa hiyo unataka kumaanisha mtoa mada anatamani kuwa CHAWA wa huyo Rostam, kama ilivyo kwa yule CHAWA wa Diamond (Baba Levo)!Nimeingia kwenye hili bandiko kusoma cheche alizotema Rostam Azizi papa wa CCM. Lakini sijaona lolote, ni mbwembe tu za kumpampamba mtu
Wewe ni muuza ngada, wacha kujitetea.Sijajua kwanini Umasikini umetufanya tuone kila Tajiri anafanya biashara ya Madawa. Umetuingia mpaka kwenye Ubongo hatuwezi kufikiria kwa kichwa tena
Na wewe uza madawa kama ni rahisi kiasi hicho.Tapeli hilo.
Biashara yake kuu ni MADAWA YA KULEVYA.
Huwezi kusikia amefanya uwekezaji wenye tija.
Akiwa ana biashara mahali ujue hicho ni kichaka cha UTAKATISHAJI WA FEDHA ZA MADAWA YA KULEVYA, UHUJUMU UCHUMI na KUONGOZA MAGENGE YA UHALIFU.
Ungemsikiliza usingeandika ulichokiandika. Jifunze kupata habari kamili au kutoka kwa muhusika kabla ya kutoa maoni.Hapa Rostam nampinga kwa kiasi fulani, wajibu wa kutumia raw materials ni watanzania kuzalisha bidhaa bora ukiwa unalalamika unataka nani aje kuweka viwanda halafu kwa maneno ya Mama jana kuna wakenya wamewekeza zaidi ya kampuni 500 na kutengeneza ajira karibia alfu 56 wakati Tanzania wame invest kampuni 30 Kenya na kuzalisha ajira 2000 hivi sasa anahitaji usawa upi angekuwa specific. Kilimo tu ni ajira kubwa kwetu tukiweka nguvu za dhati katika kilimo hasa kilimo cha kisasa.
Wamesharudi tena mkuu, na wapambe wanabwekabweka tu bila kufikiria athari za haya yanayojiri kipindi hiki.Sasa huyo 'Samjo Samjo' Rostam Aziz akitema hayo Madini kwa Kuongea hivyo hapo Ukumbini Nairobi 'Practically' ina Tija ipi ( gani ) kwa Maendeleo ya Tanzania yetu hii?
Usitake tu Kutulazimisha tuseme yake.
Nyie mataga wa lumumba akili zenu sawa na za popo.
Mbona unamuonea wivu sasa kama unaifanya Kazi halali? Mtumikie aliyekuajiri fanya ya kwako maneno ya kijiweni waachie vijiweniKwanza, kuuza madawa ya kulevya haijawahi kuwa RAHISI. Unahitaji kuwa GWIJI KOMAVU la kuongoza magenge ya uhalifu.
Hivyo, nimepungukiwa hiyo "sifa".
Pili, ninafanya kazi halali kwa ajili ya kipato halali.
Una swali lingine?
Inawezekana mali alizo nazo zinamtoshaKumbe Rostam yupo,vp Bakrresa yeye hajaenda kenya
Usiendelee kusikia, nenda kajazwe ushuhudie mwenyewe huko anakouza RostamNasikia huko kwenye biashara yenu huwa mnajazwa unga mikunduni?
Ni kweli?
Awamu ya 6 hii Matajiri ni wawekezaji.Siasa za maji taka za kuwaona matajiri wabaya, wezi, walanguzi zimezikwa Chato.Wewe ni muuza ngada, wacha kujitetea.