Kenya: Rais Samia afungua kongamano la wafanyabiashara nchini Kenya, Rostam Aziz atema madini ukumbi mzima wamshangilia

Kenya: Rais Samia afungua kongamano la wafanyabiashara nchini Kenya, Rostam Aziz atema madini ukumbi mzima wamshangilia

Tapeli hilo.

Biashara yake kuu ni MADAWA YA KULEVYA.

Huwezi kusikia amefanya uwekezaji wenye tija.

Akiwa ana biashara mahali ujue hicho ni kichaka cha UTAKATISHAJI WA FEDHA ZA MADAWA YA KULEVYA na UHUJUMU UCHUMI.
Wewe utakuwa na upunguani, acha kukaa kwenye vijiwe vinakuharibu
 
Rais Samia amefungua kongamanano la wafanyabiashara nchini Kenya ambalo limehusisha pia wafanyabiashara kutoka Tanzania.

Rostam Aziz ametaka uwepo wa uwiano mzuri wa kibiashara kati ya Kenya na Tanzania badala ya nchi moja kuwa msambazaji wa mali ghafi na mwingine akiwa muuzaji wa finished goods, mmoja atafaidika na ajira kwa watu wake na upande mwingine ajira zitakosekana.

Tukio liko mubashara runinga ya Star.

Kazi Iendelee!

ROSTAM tena??

Huyu jama aalipaswa kuw ajela anaoza, ila cha ajabu ndio anaonekana mfanyabiashara mkubwa mwenye mafanikio TZ>

Swala muda tu, watoto humu watakuja kumjua kwa rangi zake.
 
Kumbe Rostam yupo,vp Bakrresa yeye hajaenda kenya
 
Bila shaka na wewe ni mmojawapo wa genge la wahalifu wa madawa ya kulevya.
Sijajua kwanini Umasikini umetufanya tuone kila Tajiri anafanya biashara ya Madawa. Umetuingia mpaka kwenye Ubongo hatuwezi kufikiria kwa kichwa tena
 
Nimeingia kwenye hili bandiko kusoma cheche alizotema Rostam Azizi papa wa CCM. Lakini sijaona lolote, ni mbwembe tu za kumpampamba mtu
Kwa hiyo unataka kumaanisha mtoa mada anatamani kuwa CHAWA wa huyo Rostam, kama ilivyo kwa yule CHAWA wa Diamond (Baba Levo)!
 
Tapeli hilo.

Biashara yake kuu ni MADAWA YA KULEVYA.

Huwezi kusikia amefanya uwekezaji wenye tija.

Akiwa ana biashara mahali ujue hicho ni kichaka cha UTAKATISHAJI WA FEDHA ZA MADAWA YA KULEVYA, UHUJUMU UCHUMI na KUONGOZA MAGENGE YA UHALIFU.
Na wewe uza madawa kama ni rahisi kiasi hicho.

Au wewe hutaki hela?
 
Hapa Rostam nampinga kwa kiasi fulani, wajibu wa kutumia raw materials ni watanzania kuzalisha bidhaa bora ukiwa unalalamika unataka nani aje kuweka viwanda halafu kwa maneno ya Mama jana kuna wakenya wamewekeza zaidi ya kampuni 500 na kutengeneza ajira karibia alfu 56 wakati Tanzania wame invest kampuni 30 Kenya na kuzalisha ajira 2000 hivi sasa anahitaji usawa upi angekuwa specific. Kilimo tu ni ajira kubwa kwetu tukiweka nguvu za dhati katika kilimo hasa kilimo cha kisasa.
Ungemsikiliza usingeandika ulichokiandika. Jifunze kupata habari kamili au kutoka kwa muhusika kabla ya kutoa maoni.
 
Rostam ni mfanyabiashara aliyefaidika na protectionism ya Serikali ya Tz ka muda mrefu hivyo lazima aje na hoja kam hiyo. Ni ijulikane kuwa protectionism humfaidisha tajiri huku mlaji akiumia.
 
Sasa huyo 'Samjo Samjo' Rostam Aziz akitema hayo Madini kwa Kuongea hivyo hapo Ukumbini Nairobi 'Practically' ina Tija ipi ( gani ) kwa Maendeleo ya Tanzania yetu hii?

Usitake tu Kutulazimisha tuseme yake.
Wamesharudi tena mkuu, na wapambe wanabwekabweka tu bila kufikiria athari za haya yanayojiri kipindi hiki.
 
Kwanza, kuuza madawa ya kulevya haijawahi kuwa RAHISI. Unahitaji kuwa GWIJI KOMAVU la kuongoza magenge ya uhalifu.

Hivyo, nimepungukiwa hiyo "sifa".

Pili, ninafanya kazi halali kwa ajili ya kipato halali.

Una swali lingine?
Mbona unamuonea wivu sasa kama unaifanya Kazi halali? Mtumikie aliyekuajiri fanya ya kwako maneno ya kijiweni waachie vijiweni
 
Back
Top Bottom