Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Mmh!!! Tanzania is just a walking corpse, no any performing sector, but good in cooking datasThe Giant of Africa Kenya has no any significant Export among the top ten. On other side the sleeping Giant is waking up to her long sleepy era and she is taking up her place as the East Africa biggest Economy.
Tanzania is exporting more than 3 Billion usd ahead of any nation in East Africa.
CC:Kenya
CC:Tanzania
NB: Tz tujitaidi nchi kama Ghana au Co D’ivoire haitakiwi zitupite kabisa
Yaan we Lucha wa kufika Ghana!!Zamani nilikua najua Ghana ni nchi iliyoendelea sana siku nilivyofika ndo nikashangaa bora ya Tz
Nikiichi kidogo sana ila kinachuana sana na Tz kiuchumiZamani nilikua najua Ghana ni nchi iliyoendelea sana siku nilivyofika ndo nikashangaa bora ya Tz
What did TZ export, if its not only tourism, but in tourism tz has the second tourist attractions in Africa how comes its ranked 10th in total export.The Giant of Africa Kenya has no any significant Export among the top ten. On other side the sleeping Giant is waking up to her long sleepy era and she is taking up her place as the East Africa biggest Economy.
Tanzania is exporting more than 3 Billion usd ahead of any nation in East Africa.
CC:Kenya
Kenyan KENY THOMAS Kenyan B0Y
CC:Tanzania
NB: Tz tujitaidi nchi kama Ghana au Co D’ivoire haitakiwi zitupite kabisa
Unazidiwa na nchi kama Zambia landlocked, unakuja kujisifia kwasbb Kenya haimo, wakati Kenye sio level yetu kabisa.The Giant of Africa Kenya has no any significant Export among the top ten. On other side the sleeping Giant is waking up to her long sleepy era and she is taking up her place as the East Africa biggest Economy.
Tanzania is exporting more than 3 Billion usd ahead of any nation in East Africa.
CC:Kenya
Kenyan KENY THOMAS Kenyan B0Y
CC:Tanzania
NB: Tz tujitaidi nchi kama Ghana au Co D’ivoire haitakiwi zitupite kabisa
Mkuu siwezi kukusaidia kwa hilo wewe una majonzi ,msonononeko!!Tanzania ni nchi mbovu kuwahi kutokea dunia hii.
Nchi ambayo wanachi ni masikini kupindukia ila ndio miongoni wanaongoza duniani kwa kukatwa kodi.
Nchi ambayo walio na mawazo mbadala wana tekwa kuteswa au kuuliwa.
Nchi ambayo wenye mawazo na mienendo chanya wanapigwa kibuti huku nafasi nyeti wanapewa mabemunda.
ETC
Kwa hio acha propaganda wewe, sijui labda umetumwa, hizo SGR nizisikupe kiwewe kwa maana ni kodi za watu hizo ambazo bado haitawafaidisha chochote maana huo mradi ni mali ya CCM
We mpumbavu nn sasa Zambia iko East africa???Unazidiwa na nchi kama Zambia landlocked, unakuja kujisifia kwasbb Kenya haimo, wakati Kenye sio level yetu kabisa.
Tourism ni export aisee tembea uone😂😂😂What did TZ export, if its not only tourism, but in tourism tz has the second tourist attractions in Africa how comes its ranked 10th in total export.
Soma sorce of information !Mmh!!! Tanzania is just a walking corpse, no any performing sector, but good in cooking datas
Mmh!!! kwani hapo nchi zilio tajwa ni East Africa tu, au ni hasira zako za uelewa mdogo, nitajia kitu kipi sekita ipi? tunaipita Kenya kiuchumu, achilia mbali hizi data za kupika.We mpumbavu nn sasa Zambia iko East africa???
Kama siyo level yenu unaiona kwene top ten hapo??
We mwehu umeingiaje kwene huu uzi!
ExportMmh!!! kwani hapo nchi zilio tajwa ni East Africa tu, au ni hasira zako za uelewa mdogo, nitajia kitu kipi sekita ipi? tunaipita Kenya kiuchumu, achilia mbali hizi data za kupika.
Tourism ni nini? Mkuu ukionda domestic tourism ambao ni ndogo sana kwetu.Tourism ni export aisee tembea uone[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nchi mbona ina kazi ! mara nyingine kumbe tatzo kubwa si serikali ni hawa vilaza
We covax kama jina lako una jua GDP ya kenya 2023 Vs Ya tz 2023??Mmh!!! kwani hapo nchi zilio tajwa ni East Africa tu, au ni hasira zako za uelewa mdogo, nitajia kitu kipi sekita ipi? tunaipita Kenya kiuchumu, achilia mbali hizi data za kupika.
Nimekuuliza, sisi kipi tume export kama sio tourism umeshindwa kunintajia.Export
Hapo intra africa trade exportTourism ni nini? Mkuu ukionda domestic tourism ambao ni ndogo sana kwetu.
Hii weka mbali na watoto wanasafirisha cocoa hawa kama hawana akili vizuri they are very serious..Co D’ivoire