Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

The Giant of Africa Kenya has no any significant Export among the top ten. On other side the sleeping Giant is waking up to her long sleepy era and she is taking up her place as the East Africa biggest Economy.

Tanzania is exporting more than 3 Billion usd ahead of any nation in East Africa.

CC: Kenya
Kenyan KENY THOMAS Kenyan B0Y

CC:Tanzania

NB: Tz tujitaidi nchi kama Ghana au Co D’ivoire haitakiwi zitupite kabisa
Niwe mkweli, kwa sasa watanzania ndio wapo very smart ukilinganisha na nchi nyingine za East Africa, ni vile serikali yetu tu bado haijishughulishi nasi. Laiti support ya serikali ingekuwepo TZ hasa kwenye teknolojia kama ilivo kwa Kenya na rwanda basi tungekua mbali zaidi
 
What did TZ export, if its not only tourism, but in tourism tz has the second tourist attractions in Africa how comes its ranked 10th in total export.
what did tanzania export?

yesu, maria na yusuph
 
Acha kukariri na kujishusha hadhi yako,kwa hii miaka 6 leta miradi ya TZ na kenya hapa halafu tuidadavue tuone nchi gani ina miradi yenye tija kwa wananchi wake
Nakuambia hivi hamna sekita tunao zidi Kenya acha mambo ya miradi tu, nakupa mfano fanya simple comparison btn kenya airways na air Tanzania tu uone.
 
Inategemeana na mtazamo…
unaweza ukawa vizuri kwene ngumi na usiwe vizuri kwene mateke!!
Kila mtu ashinde vita zake
Hapana hio ni tofauti..., hapa umeongelea industry moja ni sawa useme jamaa ni mbabe wa Tanzania nzima wakati mtaani kwake ni Kibonde..., Sababu mtaa upo Tanzania basi haiwezekani huyo awe mbabe wa Tanzania; kumbuka hii sio ligi kwamba kuna points (yaani Man City anaweza kufungwa na Fulham lakini haimaanishi Fulham ndio atakuwa bingwa sababu kamfunga bingwa)
 
Niwe mkweli, kwa sasa watanzania ndio wapo very smart ukilinganisha na nchi nyingine za East Africa, ni vile serikali yetu tu bado haijishughulishi nasi. Laiti support ya serikali ingekuwepo TZ hasa kwenye teknolojia kama ilivo kwa Kenya na rwanda basi tungekua mbali zaidi
Kweli kabisa wakenya nao waliwai kukiri kwamba Miaka ya nyuma wao walikua wana export more kuja kwetu lakini saizi sisi tuna export more kwenda kwao.
Hii siyo mazao tu na bidhaa nyingine
 
Tanzania ni nchi mbovu kuwahi kutokea dunia hii.

Nchi ambayo wanachi ni masikini kupindukia ila ndio miongoni wanaongoza duniani kwa kukatwa kodi.

Nchi ambayo walio na mawazo mbadala wana tekwa kuteswa au kuuliwa.

Nchi ambayo wenye mawazo na mienendo chanya wanapigwa kibuti huku nafasi nyeti wanapewa mabemunda.

ETC
Kwa hio acha propaganda wewe, sijui labda umetumwa, hizo SGR nizisikupe kiwewe kwa maana ni kodi za watu hizo ambazo bado haitawafaidisha chochote maana huo mradi ni mali ya CCM
Acha uwana harakati mchwara ?Fanya kazi wacha na serikali ifanye kazi
 
Nakuambia hivi hamna sekita tunao zidi Kenya acha mambo ya miradi tu, nakupa mfano fanya simple comparison btn kenya airways na air Tanzania tu uone.
Mkuu mi kuongea porojo siwezi weka data hapa !!
Usitake niamini maneno matupu!
Au weka cheo chako /Nafasi yako kwene maswala ya uchumi!! ili uweke kama ndo credible source
 
Tanzania ni bonge la nchi sana, kuna watz hawajui tu, tunatakiwa kurekebisha mambo machache tu.
Yaho ni maneno tu, taja sekita zinazo perform vizuri kiuchumi achani propaganda za chama tawala nchi iko usingizini.
 
"Intra-Africa trade", Kenya inauza Parachichi, maua, mboga na chai Ulaya.
 
Yaho ni maneno tu, taja sekita zinazo perform vizuri kiuchumi achani propaganda za chama tawala nchi iko usingizini.
Kujadili vitu vyako kwa takwimu hivi ulishashindwa😂😂😂
Umenishangaza hata GDP ya tanzania 2023 huijui wala ya kenya huijui na unabisha !!
Aisee
 
Attachments

  • C6AB9937-C411-4FA5-9E7A-67BAA6A0060F.jpeg
    C6AB9937-C411-4FA5-9E7A-67BAA6A0060F.jpeg
    685.9 KB · Views: 1
What did TZ export, if its not only tourism, but in tourism tz has the second tourist attractions in Africa how comes its ranked 10th in total export.
We do not export tourism but we earn forex through tourist gains. We earn export by selling Minerals (Gold, tanzanite, nickel, and other precious metals), Agricultural products (Tobacco, coffee, tea sisal, etc), horticulture (flowers ornaments, etc) fish and fish products, seafood and semi-processed agri products just to mention the few.
 
However we can also export services of tourism.
 
Back
Top Bottom