Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

Nimekuuliza, sisi kipi tume export kama sio tourism umeshindwa kunintajia.
😂😂😂😂kwaiyo hyo tourism ume m exportia nani??
wamalawi au wazambia au wakongo??
Elewa maada hutatoka nje ya key
 
Naomba unijibu, Tanzania ime export nini nje ya nchi?......
Tafuta ukishindwa njoo kanusha mi nitakujia na takwimu😀😀😀

Sasa kama ulikua hujui mbona umekuja kukataa wakat hujui kama nchi yako ina export
 
We covax kama jina lako una jua GDP ya kenya 2023 Vs Ya tz 2023??
Ni ngapi?
Nadhan ni kama akili yako imeganda unadhan uchumi ni kitu ambacho ni fixed kama urefu na ufupi
Mkuu acha maneno leta dataindex za GDp ya Kenya vs ya Tanzania 2023 ujionee mwenyewe sisi ni comedian kwenye uchumi
 
Tafuta ukishindwa njoo kanusha mi nitakujia na takwimu[emoji3][emoji3][emoji3]

Sasa kama ulikua hujui mbona umekuja kukataa wakat hujui kama nchi yako ina export
Kumbe hujui unacho tetea umeshindwa kunitajia Tz ilicho export kua number 10.....ndo maana nimekuambia hizo data niza kupika tu.
 
Kumbe hujui unacho tetea umeshindwa kunitajia Tz ilicho export kua number 10.....ndo maana nimekuambia hizo data niza kupika tu.
Kutokukujibu haimaanishi sijui naona tu unanichosha unabisha tu plus huna takwimu zozote sasa Huwezi niuliza maswali kama interview wakat huna data lete data tubishane kwa data siyo maneno ya vijiwe vya kahawa
 
Mkuu acha maneno leta dataindex za GDp ya Kenya vs ya Tanzania 2023 ujionee mwenyewe sisi ni comedian kwenye uchumi
Yaan tena nikuletee na hiyo😂😂😂

sasa ww huna data hata moja unataka maswali niliyokuswalika utafute data kupitia kwangu😂😂😂

Yaan we n hopeless!!
Plz we nenda kwene marumbano ya zig zag hapa hupawezi
 
Kwahio yaani huyo Giant ambaye ameshindwa kuwa Giant wa East Africa (Subset) ila ni Giant wa Africa (Set) ?

Unaona hio logically ina make sense ?
Inategemeana na mtazamo…
unaweza ukawa vizuri kwene ngumi na usiwe vizuri kwene mateke!!
Kila mtu ashinde vita zake
 
Kenya sio level yetu kivipi mkuu?
Unaizidi kitu gani kiuchumi? Level yetu Tz ni Uganda Rwanda Zambia, Malawi n.k hata miongoni mwahizo nchi kuna nchi kama Zambia imeanza kutupita Rwanda inakuja mbio pia.
 
Unaizidi kitu gani kiuchumi? Level yetu Tz ni Uganda Rwanda Zambia, Malawi n.k hata miongoni mwahizo nchi kuna nchi kama Zambia imeanza kutupita Rwanda inakuja mbio pia.
Acha kukariri na kujishusha hadhi yako,kwa hii miaka 6 leta miradi ya TZ na kenya hapa halafu tuidadavue tuone nchi gani ina miradi yenye tija kwa wananchi wake
 
Hivi hiyo export inausisha na kulipa madeni?
 
Back
Top Bottom