Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
-
- #21
๐๐๐๐kwaiyo hyo tourism ume m exportia nani??Nimekuuliza, sisi kipi tume export kama sio tourism umeshindwa kunintajia.
Naomba unijibu, Tanzania ime export nini nje ya nchi?......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo hyo tourism ume m exportia nani??
wamalawi au wazambia au wakongo??
Elewa maada hutatoka nje ya key
๐คฃ๐คฃ๐คฃMkuu siwezi kukusaidia kwa hilo wewe una majonzi ,msonononeko!!
Nadhan hapa si mahali pake nenda kwene uzi unajadili siasa .
Hizi sio siaza mi najadili takwimu
Tafuta ukishindwa njoo kanusha mi nitakujia na takwimu๐๐๐Naomba unijibu, Tanzania ime export nini nje ya nchi?......
Watu wana sononoa hii nchi๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mkuu acha maneno leta dataindex za GDp ya Kenya vs ya Tanzania 2023 ujionee mwenyewe sisi ni comedian kwenye uchumiWe covax kama jina lako una jua GDP ya kenya 2023 Vs Ya tz 2023??
Ni ngapi?
Nadhan ni kama akili yako imeganda unadhan uchumi ni kitu ambacho ni fixed kama urefu na ufupi
๐คฃ๐คฃ๐คฃ dah! aisee nimekubali mkuu aya bhanaWatu wana sononoa hii nchi
..a walking corpse.Mmh!!! Tanzania is just a walking corpse, no any performing sector, but good in cooking datas
Kumbe hujui unacho tetea umeshindwa kunitajia Tz ilicho export kua number 10.....ndo maana nimekuambia hizo data niza kupika tu.Tafuta ukishindwa njoo kanusha mi nitakujia na takwimu[emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa kama ulikua hujui mbona umekuja kukataa wakat hujui kama nchi yako ina export
Kutokukujibu haimaanishi sijui naona tu unanichosha unabisha tu plus huna takwimu zozote sasa Huwezi niuliza maswali kama interview wakat huna data lete data tubishane kwa data siyo maneno ya vijiwe vya kahawaKumbe hujui unacho tetea umeshindwa kunitajia Tz ilicho export kua number 10.....ndo maana nimekuambia hizo data niza kupika tu.
Kenya sio level yetu kivipi mkuu?Unazidiwa na nchi kama Zambia landlocked, unakuja kujisifia kwasbb Kenya haimo, wakati Kenye sio level yetu kabisa.
Yaan tena nikuletee na hiyo๐๐๐Mkuu acha maneno leta dataindex za GDp ya Kenya vs ya Tanzania 2023 ujionee mwenyewe sisi ni comedian kwenye uchumi
Muulize vizuri labda anawewesekaKenya sio level yetu kivipi mkuu?
Inategemeana na mtazamoโฆKwahio yaani huyo Giant ambaye ameshindwa kuwa Giant wa East Africa (Subset) ila ni Giant wa Africa (Set) ?
Unaona hio logically ina make sense ?
Unaizidi kitu gani kiuchumi? Level yetu Tz ni Uganda Rwanda Zambia, Malawi n.k hata miongoni mwahizo nchi kuna nchi kama Zambia imeanza kutupita Rwanda inakuja mbio pia.Kenya sio level yetu kivipi mkuu?
Kweli unaelewa siasa za nchi hi tunauliza tume export nini hamna sema.Hapa inawezekana tunapangwa
Acha kukariri na kujishusha hadhi yako,kwa hii miaka 6 leta miradi ya TZ na kenya hapa halafu tuidadavue tuone nchi gani ina miradi yenye tija kwa wananchi wakeUnaizidi kitu gani kiuchumi? Level yetu Tz ni Uganda Rwanda Zambia, Malawi n.k hata miongoni mwahizo nchi kuna nchi kama Zambia imeanza kutupita Rwanda inakuja mbio pia.