Kenya Tops East Africa in Access to Mains Electricity

what about Danganyika? a nation of almost 60million people, miserable though they have everything in resources.
Nyinyi ni wapumbavu tu..hakuna lingine..


Ndo maana nashangaa hata huwa mnabishania nini kwani wote TZ/Ke nyuma sana!
 
what about Danganyika? a nation of almost 60million people, miserable though they have everything in resources.
Nyinyi ni wapumbavu tu..hakuna lingine..


Ndo maana nashangaa hata huwa mnabishania nini kwani wote TZ/Ke nyuma sana!
 
Wakenya bhana! Hivi unafahamu maana ya "access to electricity"?! Ndo maana kila siku hapa nawaambia kwamba, pamoja na kuonea fahari kukijua Kiingereza lakini Kiingereza chenyewe hamjaki-master na mambo madogo tu yanawashinda kama nilivyowaumbua majuzi na ukweli kuhusu kampuni ya Safaricom mnayodanganya kwamba 75% inamilikiwa na Wakenya!!!

Hizo takwimu zimetolewa na World Bank, na maneno waliyotumia ni haya kwenye graph hapa chini:-



Access to electicity sio kuunganishiwa na umeme! Leo hii ukiweka nguzo za umeme kuanzia Bukoba hadi Mtwara, watu WOTE walio karibu na hiyo line wanaitwa wana access to electricity lakini haimaanishi kwamba wote hao wameunganishiwa umeme! Tukisema Nairobi kuna umeme, haimaanishi kwamb a ALL HOUSEHOLDS in Nairobi zimeunganishwa na umeme bali wana access na umeme! Kwamba, kama ni umaskini ndio unawafanya wengine wasiwe wameunganishiwa, basi wakipata uwezo kidogo, wanaweza kuunganisha kwa sababu umeme upo pale!

Lakini kituko kikubwa zaidi, World Bank wanaripoti by 2016, 56% ya Wakenya wana access to electricity na Tanzania 32.8%. Miaka 3 baadae, Gazeti la Kenya linaripoti Kenya access to electricity imepanda hadi 75% na Tanzania imebaki pale pale!



But again, Gazeti lenu linaandika:
The country’s annualised increase in access stood at 6.4 percent
Sasa twendeni taratibu:-

6.4% ya 56 ni 6.4/100 * 56 = 3.6! Tukijumlisha na 56% tunapata access to electiricity by 2017 ni 56+3.6 = 59.6%

6.4% ya 59.6 = 3.9, Tukijumlisha na 59.6, tunapata access to electiricity by 2018 ni 63.4%! Tukifanya forecat kwa 2019, itakuwa:-
[(6.4/100)*63.4 ] + 63.4 = 67.5%

Sasa hiyo 75% wameipata pata vipi?!

Again, gazeti hilo hilo linaripoti kwamba,
The report put those without access to electricity in Kenya at 18 million,
Yaani 18M hawana access to electricity! Sasa kama 75% wana access to electricity, ina maana hao 18M ni 25%. Kama 18M ni 25%, ina maana 100% ni 72M. Je, Kenya ina population ya watu 72Million?! Mbona takwimu zinajikanganya wakati mmeziandika wenyewe? Au mmehesabia hadi mifugo?!
 
Ndo maana nashangaa hata huwa mnabishania nini kwani wote TZ/Ke nyuma sana!
TZ iko nyuma zaidi, akili duni... zile shida natural KE ni nyingi, but we are punching above our weight...and we become stronger every day.
 
jamaaa wanajitutumua na malaysia...mara hoo south africa...bwahahaha...ila hashangai na kenya kuwa na idadi ndogo ya watu na n nchi ambayo haina resources na wameishinda tz ya watu wengi kutuzidi madini,yani karibia kila kitu wanacho ila tumewazidi...bwahahaa...

tuanzie tz vs ke kwanza halafu tuende malaysia vs kenya kila sekta tuone nchi tajiri ni gani...
tanzania ni nchi tajiri na malaysia ni nchi tajiri hta kuliko kenya....
 
Hesabu Safi..Wacha waliswe matango pori..
Leo wanaamini kwamba population ya kenya ni 72 million 😉😉
 
dogo unaleta insha hapa...bwahahaa...do you know the meaning of access kwanza..tuanzie hapo...manake naoan unaleta hesabu za kijinga zisizo eleweka......
wacha nikufunze kiasi...northern kenya ni kubwa sana hta kuliko southern kenya ila southern kenya kuna watu wengi kuliko northern kenya...
 
Mwangalieni huyu! No wonder umeshindwa kuelewa hata hesabu za shule ya msingi! Nimeuliza, ina maana population ya Kenya ni 72 Million?! Unaniuliza naelewa maana ya access wakati nimeanza kuelezea suala la access to electricity ni nini?!
 
Kenya haina resurces kivipi?! Mna bahari ambayo ni chanzo kikubwa kabisa cha uchumi kupitia uvivu, usafiri wa maji na bandari! Mna mito na maziwa ambavyo mnaweza kutumia kwa shughuli za uvuvi na kilimo! Mna milima na wanyama pori ambavyo ni vivutio vikubwa vya utalii! Aidha, kule Turkana kumegundulika mafuta!! Sasa mnataka raslimali gani zaidi?! Au excuse zote hizo kwavile hamna Tanzanite! Kuhusu Kenya vs Tanzania, nimeshawaonesha hapo mapungufu ya taarifa zenu, ambazo pamoja na mambo mengine, ukiifanyia anaysis, inaonesha Kenya ina population ya watu 72 Million!!
 
Reactions: Oii
Nyinyi mnazalisha MW ngapi kakangu?
 
Cha msingi ni kwamba tuko mbele yenu, na mbele yenu tutakuwa milele
 
TZ iko nyuma zaidi, akili duni... zile shida natural KE ni nyingi, but we are punching above our weight...and we become stronger every day.
Stronger in what?! Back in the days you were leading economy in East Africa lakini Ethiopia wameshawapiga bao! Ingawaje Tanzania chini ya ujamaa tulikuwa lagged kwa takribani miaka 20, lakini tulipoanza kujenga uchumi wa kisasa lile gap linapungua year to year! Kama ni stronger in military, kuna siku niliwahi kuwauliza hapa mmewahi kupigana vita gani mkashinda lakini hilo swali sijajibiwa hadi kesho! Lakini ushahidi usio na shaka, pamoja na miaka ya karibuni kuongeza bajeti ya ulinzi na usalama maradufu na kununua mavifaru, ma-gunships, na masiraha mengine makali, lakini bado mmewashinda hata Al Shabab ambao hawana mafunzo yoyote ya kijeshi yaliyo formal! Sasa you're becoming stronger in what area?! Hapo nyie kaeni mkao wa kunyolewa tu wakati Mchina atakapokuja ku-demand Mombasa Port kulipia reli aliyowejengea na kuelekea kuwa white elephant project!
 

Only 1/3 of Kenya is viable for farming using natural rainfall, the country is water strained...hence farming in KE is more expensive.
TZ is 99% arable for farming , yani it's easier and cheaper to do farming in TZ..that is why most of the agricultural land is under cash crop farming in KE

Now with both nations highly dependent on agricultural, do you see why we say Bongolalas have a weakness in their brains because our agricultural output is greater in value than yours.
 
Hiyo statistics ya 32% naona wakenya wanaikomalia kweli, Seems it makes them feel better, Na ukwei mchungu wasioutaka ni kuwa tz is 75%
 
Reactions: Oii
Kenyan economy is bigger than Ethiopia, get your facts right.. and that is with their double population. KE also lagged behind during the 24yrs of Moi govt , kama hamkupita KE wakati wa Moi saa hizi ni ndoto tupu.

Don't get me started on parameters that Ke is way ahead of TZ, first of all our GDP gap has been widening every year..
We have discussed economic indicators here of how KE is ahead of TZ day in day out. go through the threads

Your military is a paper tiger bro, i think i gave the numbers..your claim that you fought Idi Amin is baseless, Ugandans were also fighting Amin, i doubt that TZ can successfully invade UG today.

Full data - https://www.imf.org/external/datamapper/NGDPD@WEO/OEMDC/ADVEC/WEOWORLD/AFQ

African countries GDP nominal in $ US Billion. I've listed countries with a GDP above $ US 30 Billion.

1. Nigeria - $444.9 billion
2. South Africa - $371.3 billion
3. Egypt - $299.6 billion
4. Algeria - $183.7 billion
5. Morocco - $121.4 billion
6. Kenya - $99.2 billion
7. Angola - $92.2 billion
8. Ethiopia - $91.0 billion
9. Ghana - $68.3 billion
10. Tanzania - $61.0 billion
11. DR Congo - $48.5 billion
12. Cote d'Ivoire - $45.3 billion
13. Libya - $45.0 billion
14. Cameroon - $39.2 billion
15. Tunisia - $36.2 billion
16. Sudan - $31.5 billion
17. Uganda - $30.4 billion
 

Nilikwambia wacha fake news. And relying on old data.

Go read 'The Energy Progress Report 2019''.

Published on May 22.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…