While Tz has a paltry 1000MW for 60m people... Wacha kijiaibisha. Tz still LDCHata kama ni 5000 MW bado ni ndogo sana kwa matumizi ya watu zaidi ya miloni 45 kuweza hata kujivunia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
While Tz has a paltry 1000MW for 60m people... Wacha kijiaibisha. Tz still LDCHata kama ni 5000 MW bado ni ndogo sana kwa matumizi ya watu zaidi ya miloni 45 kuweza hata kujivunia!
While Tz has a paltry 1000MW for 60m people... Wacha kijiaibisha. Tz still LDC
Ongea about connectivity in Danganyika ya watu 60m. 32% is shame..
what about Danganyika? a nation of almost 60million people, miserable though they have everything in resources.
Nyinyi ni wapumbavu tu..hakuna lingine..
what about Danganyika? a nation of almost 60million people, miserable though they have everything in resources.
Nyinyi ni wapumbavu tu..hakuna lingine..
Wakenya bhana! Hivi unafahamu maana ya "access to electricity"?! Ndo maana kila siku hapa nawaambia kwamba, pamoja na kuonea fahari kukijua Kiingereza lakini Kiingereza chenyewe hamjaki-master na mambo madogo tu yanawashinda kama nilivyowaumbua majuzi na ukweli kuhusu kampuni ya Safaricom mnayodanganya kwamba 75% inamilikiwa na Wakenya!!!Hili suala nusra tutoane macho humu kipindi fulani, tulibishana na Watanzania hadi uzi ukapata kurasa nyingi za pumba tupu.
Ni ajabu Kenya kainchi kadogo bila madini, halafu zaidi ya nusu yake ni kame tupu lakini waliounganishwa na umeme ni mara mbili ya Tanzania
Yaani Kenya 75% wameunga tayari
Zaidi ya mara mbili ya Tanzania ambao ni 32.8%
Zaidi ya mara tatu ya Uganda 22%
Hii nchi yetu ni baba mkubwa ukanda huu, kila Mkenya tembea kifua mbele na usikubali kuambiwa kitu na mtu, tuendelee kujituma, tutie bidii, tupo sahihi tena kwenye njia kuu "raiti traki" kama wasemavyo Wabongo.
Sasa twendeni taratibu:-The country’s annualised increase in access stood at 6.4 percent
Yaani 18M hawana access to electricity! Sasa kama 75% wana access to electricity, ina maana hao 18M ni 25%. Kama 18M ni 25%, ina maana 100% ni 72M. Je, Kenya ina population ya watu 72Million?! Mbona takwimu zinajikanganya wakati mmeziandika wenyewe? Au mmehesabia hadi mifugo?!The report put those without access to electricity in Kenya at 18 million,
TZ iko nyuma zaidi, akili duni... zile shida natural KE ni nyingi, but we are punching above our weight...and we become stronger every day.Ndo maana nashangaa hata huwa mnabishania nini kwani wote TZ/Ke nyuma sana!
Hesabu Safi..Wacha waliswe matango pori..Wakenya bhana! Hivi unafahamu maana ya "access to electricity"?! Ndo maana kila siku hapa nawaambia kwamba, pamoja na kuonea fahari kukijua Kiingereza lakini Kiingereza chenyewe hamjaki-master na mambo madogo tu yanawashinda kama nilivyowaumbua majuzi na ukweli kuhusu kampuni ya Safaricom mnayodanganya kwamba 75% inamilikiwa na Wakenya!!!
Hizo takwimu zimetolewa na World Bank, na maneno waliyotumia ni haya kwenye graph hapa chini:-
View attachment 1116049
Access to electicity sio kuunganishiwa na umeme! Leo hii ukiweka nguzo za umeme kuanzia Bukoba hadi Mtwara, watu WOTE walio karibu na hiyo line wanaitwa wana access to electricity lakini haimaanishi kwamba wote hao wameunganishiwa umeme! Tukisema Nairobi kuna umeme, haimaanishi kwamb a ALL HOUSEHOLDS in Nairobi zimeunganishwa na umeme bali wana access na umeme! Kwamba, kama ni umaskini ndio unawafanya wengine wasiwe wameunganishiwa, basi wakipata uwezo kidogo, wanaweza kuunganisha kwa sababu umeme upo pale!
Lakini kituko kikubwa zaidi, World Bank wanaripoti by 2016, 56% ya Wakenya wana access to electricity na Tanzania 32.8%. Miaka 3 baadae, Gazeti la Kenya linaripoti Kenya access to electricity imepanda hadi 75% na Tanzania imebaki pale pale!
View attachment 1116061
But again, Gazeti lenu linaandika:Sasa twendeni taratibu:-
6.4% ya 56 ni 6.4/100 * 56 = 3.6! Tukijumlisha na 56% tunapata access to electiricity by 2017 ni 56+3.6 = 59.6%
6.4% ya 59.6 = 3.9, Tukijumlisha na 59.6, tunapata access to electiricity by 2018 ni 63.4%! Tukifanya forecat kwa 2019, itakuwa:-
[(6.4/100)*63.4 ] + 63.4 = 67.5%
Sasa hiyo 75% wameipata pata vipi?!
Again, gazeti hilo hilo linaripoti kwamba, Yaani 18M hawana access to electricity! Sasa kama 75% wana access to electricity, ina maana hao 18M ni 25%. Kama 18M ni 25%, ina maana 100% ni 72M. Je, Kenya ina population ya watu 72Million?! Mbona takwimu zinajikanganya wakati mmeziandika wenyewe? Au mmehesabia hadi mifugo?!
Mwangalieni huyu! No wonder umeshindwa kuelewa hata hesabu za shule ya msingi! Nimeuliza, ina maana population ya Kenya ni 72 Million?! Unaniuliza naelewa maana ya access wakati nimeanza kuelezea suala la access to electricity ni nini?!dogo unaleta insha hapa...bwahahaa...do you know the meaning of access kwanza..tuanzie hapo...manake naoan unaleta hesabu za kijinga zisizo eleweka......
wacha nikufunze kiasi...northern kenya ni kubwa sana hta kuliko southern kenya ila southern kenya kuna watu wengi kuliko northern kenya...
Kenya haina resurces kivipi?! Mna bahari ambayo ni chanzo kikubwa kabisa cha uchumi kupitia uvivu, usafiri wa maji na bandari! Mna mito na maziwa ambavyo mnaweza kutumia kwa shughuli za uvuvi na kilimo! Mna milima na wanyama pori ambavyo ni vivutio vikubwa vya utalii! Aidha, kule Turkana kumegundulika mafuta!! Sasa mnataka raslimali gani zaidi?! Au excuse zote hizo kwavile hamna Tanzanite! Kuhusu Kenya vs Tanzania, nimeshawaonesha hapo mapungufu ya taarifa zenu, ambazo pamoja na mambo mengine, ukiifanyia anaysis, inaonesha Kenya ina population ya watu 72 Million!!jamaaa wanajitutumua na malaysia...mara hoo south africa...bwahahaha...ila hashangai na kenya kuwa na idadi ndogo ya watu na n nchi ambayo haina resources na wameishinda tz ya watu wengi kutuzidi madini,yani karibia kila kitu wanacho ila tumewazidi...bwahahaa...
tuanzie tz vs ke kwanza halafu tuende malaysia vs kenya kila sekta tuone nchi tajiri ni gani...
tanzania ni nchi tajiri na malaysia ni nchi tajiri hta kuliko kenya....
Nyinyi mnazalisha MW ngapi kakangu?Muzungu anaingiaje hapa? Isitoshe Kenya imeongeza MW ngapi kuacha zile alizoacha Muzungu miaka 50 iliyopita? Na Je, Malaysia pia ni Muzungu amejenga? Mambo mengine ni ya kukaa kimya tu na kuendelea kupiga kazi, lkn kujisisfu nchi nzima kuzalisha chini ya 2 000MW siyo sawa.
Cha msingi ni kwamba tuko mbele yenu, na mbele yenu tutakuwa mileleHivi mijubilee bado mnajifariji na FAKE NEWS???
Reporti ya WB kuhusu electricity connections mwisho kuchapishwa ni 2016
KENYA 56%
TANZANIA 32.8%
ukitaka uhalisia nenda
View attachment 1116081![]()
View attachment 1116084View attachment 1116085
Wapi WB wamesema eti kenya sasa ina 75% au Tz bado wamekomalia 32.8%.
FAKE NEWS
Stronger in what?! Back in the days you were leading economy in East Africa lakini Ethiopia wameshawapiga bao! Ingawaje Tanzania chini ya ujamaa tulikuwa lagged kwa takribani miaka 20, lakini tulipoanza kujenga uchumi wa kisasa lile gap linapungua year to year! Kama ni stronger in military, kuna siku niliwahi kuwauliza hapa mmewahi kupigana vita gani mkashinda lakini hilo swali sijajibiwa hadi kesho! Lakini ushahidi usio na shaka, pamoja na miaka ya karibuni kuongeza bajeti ya ulinzi na usalama maradufu na kununua mavifaru, ma-gunships, na masiraha mengine makali, lakini bado mmewashinda hata Al Shabab ambao hawana mafunzo yoyote ya kijeshi yaliyo formal! Sasa you're becoming stronger in what area?! Hapo nyie kaeni mkao wa kunyolewa tu wakati Mchina atakapokuja ku-demand Mombasa Port kulipia reli aliyowejengea na kuelekea kuwa white elephant project!TZ iko nyuma zaidi, akili duni... zile shida natural KE ni nyingi, but we are punching above our weight...and we become stronger every day.
Kenya haina resurces kivipi?! Mna bahari ambayo ni chanzo kikubwa kabisa cha uchumi kupitia uvivu, usafiri wa maji na bandari! Mna mito na maziwa ambavyo mnaweza kutumia kwa shughuli za uvuvi na kilimo! Mna milima na wanyama pori ambavyo ni vivutio vikubwa vya utalii! Aidha, kule Turkana kumegundulika mafuta!! Sasa mnataka raslimali gani zaidi?! Au excuse zote hizo kwavile hamna Tanzanite! Kuhusu Kenya vs Tanzania, nimeshawaonesha hapo mapungufu ya taarifa zenu, ambazo pamoja na mambo mengine, ukiifanyia anaysis, inaonesha Kenya ina population ya watu 72 Million!!
you improved by 1.4%Hyo 32.8% ni 2016 ..Three years zimepita ..na mwaka huo huo ilikuwa 56% for Kenya ..mstuletee habari zenu updated ..mna compare na Tz ya 2016
View attachment 1116065
Kenyan economy is bigger than Ethiopia, get your facts right.. and that is with their double population. KE also lagged behind during the 24yrs of Moi govt , kama hamkupita KE wakati wa Moi saa hizi ni ndoto tupu.Stronger in what?! Back in the days you were leading economy in East Africa lakini Ethiopia wameshawapiga bao! Ingawaje Tanzania chini ya ujamaa tulikuwa lagged kwa takribani miaka 20, lakini tulipoanza kujenga uchumi wa kisasa lile gap linapungua year to year! Kama ni stronger in military, kuna siku niliwahi kuwauliza hapa mmewahi kupigana vita gani mkashinda lakini hilo swali sijajibiwa hadi kesho! Lakini ushahidi usio na shaka, pamoja na miaka ya karibuni kuongeza bajeti ya ulinzi na usalama maradufu na kununua mavifaru, ma-gunships, na masiraha mengine makali, lakini bado mmewashinda hata Al Shabab ambao hawana mafunzo yoyote ya kijeshi yaliyo formal! Sasa you're becoming stronger in what area?! Hapo nyie kaeni mkao wa kunyolewa tu wakati Mchina atakapokuja ku-demand Mombasa Port kulipia reli aliyowejengea na kuelekea kuwa white elephant project!
Hivi mijubilee bado mnajifariji na FAKE NEWS???
Reporti ya WB kuhusu electricity connections mwisho kuchapishwa ni 2016
KENYA 56%
TANZANIA 32.8%
ukitaka uhalisia nenda
View attachment 1116081![]()
View attachment 1116084View attachment 1116085
Wapi WB wamesema eti kenya sasa ina 75% au Tz bado wamekomalia 32.8%.
FAKE NEWS