Kenya tunashinda T.Z katika michezo zote duniani

Hakuna mchezo hata mmoja ambao T.Z wanaweza kutushinda. Sio kandanda sio rugby sio riadha sio volleyball sio Safari Rally sio hockey. Jameni mbona mmelala usingizi wa pono?

Nadhani ngumi tunawashinda na rekodi ipo wazi bwana Tony Gachoka!

Yaani Point Blank muheshimiwa.....
 
Hakuna mchezo hata mmoja ambao T.Z wanaweza kutushinda. Sio kandanda sio rugby sio riadha sio volleyball sio Safari Rally sio hockey. Jameni mbona mmelala usingizi wa pono?
Sio uchumi, sio kijeshi, sio elimu, sio miundo mbinu.....yaani tunaweza jaza server za watu tukiandika vyote.
NI KWELI KABISA

Huo ni ukweli uumao

Sisi tuna Upuuzi na Ujinga sana

Tunachojua ni Majungu tu

Siasa na Michezo ni vitu viwili tofauti kama mafuta na maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…