figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Leo wanaharakati wa Kenya wameandamana Mpaka ubalozi wa Tanzania na Uganda nchini Kenya, wakizitaka mamlaka zimuachilie huru Tundu Lissu na Kizza Besige, wanaharakati hao wameipa masharti Serikali ya Kenya.
Wanaharakati wa Kenya wamesema Kizza Besige alitekwa nchini Kenya akapelekwa Uganda na kufunguliwa mashtaka ya UHAINI.
Wanaharakati hao wametishia kufunga Balozi za Tanzania na Uganda katika maandamano yajayo leo wametuma salaam Tu.