Kenya Waandamana Ubalozini kushinikiza Tundu Lissu aachiliwe huru

Kenya Waandamana Ubalozini kushinikiza Tundu Lissu aachiliwe huru

Tunaomba Mungu awabariki wote wanaomtetea mpigania haki mkuu, Tundu Lisu.
Kwa kweli Ulimwengu utusaidie, angalao kwa kuutenga kabisa utawala huu haramu, utawala wa mauaji. Hatukuwahi kufikiria nchi yetu siku moja itakuja kuingia kwenye laana ya kiwango hiki. Dunia nzima, kwa kupitia Tx, imeshuhudia jinsi mwanamke anavyoweza kuwa kiumbe katili na hatari kupindukia kuliko chochote.
 
vihela vya ford foundation vinafanya kazi
Kwa sasa kenya inaongoza kwa mashoga waliojibadili kuwa wanawake afrika nzima ,
 
Leo wanaharakati wa Kenya wameandamana Mpaka ubalozi wa Tanzania na Uganda nchini Kenya, wakizitaka mamlaka zimuachilie huru Tundu Lissu na Kizza Besige, wanaharakati hao wameipa masharti Serikali ya Kenya.

Wanaharakati wa Kenya wamesema Kizza Besige alitekwa nchini Kenya akapelekwa Uganda na kufunguliwa mashtaka ya UHAINI.

Wanaharakati hao wametishia kufunga Balozi za Tanzania na Uganda katika maandamano yajayo leo wametuma salaam Tu.
View attachment 3662761

03 September 2026
Nairobi, Kenya

DEMONSTRATIONS IN FRONT OF TANZANIA AND UGANDA EMBASSIES IN NAIROBI

View: https://m.youtube.com/shorts/8ofn796vrJs
 
Back
Top Bottom