Kenya Waandamana Ubalozini kushinikiza Tundu Lissu aachiliwe huru

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Leo wanaharakati wa Kenya wameandamana Mpaka ubalozi wa Tanzania na Uganda nchini Kenya, wakizitaka mamlaka zimuachilie huru Tundu Lissu na Kizza Besige, wanaharakati hao wameipa masharti Serikali ya Kenya.

Wanaharakati wa Kenya wamesema Kizza Besige alitekwa nchini Kenya akapelekwa Uganda na kufunguliwa mashtaka ya UHAINI.

Wanaharakati hao wametishia kufunga Balozi za Tanzania na Uganda katika maandamano yajayo leo wametuma salaam Tu.
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna Watu wamebarikiwa lakini Tundu Lissu ni wa mfano
 
Kenya are doing very well
 
Hii safi sana. Ukombozi upo karibu
 
ok.🐒
 
Mi nawalaumu mabwana wa hao machoko; inakuaje wanawapa uhuru wa kutoka nje kama hivyo?!! Hao ni wa kuwafungia ndani wapike ugali na kudeki.

Anyways; waambieni wake kuandamania Huku kama walivyojaribu safari ile😋😋😋
 
Hivi Nyerere aliwahi kuambiwa na Mzee Moi kuwa anaongoza MAITI?. nakumbuka vizuri?..
 
Mi ningefurahi sana kama hicho kiherehere wangelikileta Tanzania ili wajue maana ya mamlaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…