Labda satelaiti ya uchawaDemokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?
Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Wamasai pale pia sio kwao, wakoloni waliwafurusha kutoka Serengeti, wanafurushwa Tena kwenda Handeni Tanga. Wanyama hawezi kupelekwa msomera Handeni lakini wamasai wanaweza kuhamisha.Tanzania inanyonywa na waarabu mpaka wanafukuza wamasai. Stupid government
Kaka ingekuwa hivyo wakenya wasingekuwa wakimbizi dunia nzima, wanakimbia hardships nchini kwao. Utawakuta wakenya kwa wingi hata kazi za majumbani huko kwa waarabu.Acha uongo KQ inamilikiwa na Serikali ya Kenya kwa Asilimia 48, KLM Asilimia 7 na wawekezaji wengine ikiwamo mabenki Asilimia zilizobaki na ndege zote ni Mali yao.
Shida Iko wapi hapo kaka, ardhi ipo tele hapa, ni mali ya umma. Lima, patia watu ajira, lipa Kodi nenda kauze na wewe.Wakati mnahangaika na hizi bla bla za kichawa za satellite ya kilingeni, wafanyabiashara wa Kenya wako busy ndani ya Tanzania vijijini wakinunua kahawa na maparachichi na ku-re-export kama produce of Kenya.
Kwingine wanamiliki hata ardhi yenu na kulima mazao ya kuuza nje kupitia kwao. Halafu mnashangaa kwa nini shilingi yao inazidi kuimarika.
Hakuna nchi hata moja Africa imerusha satellite yake, seuze Tanzania? Watu kuota ndoto hamjambo.Kama tuna reli ya umeme na barabara za mabasi ya haraka kama nchi za magharibi tutashindwa nn kuwa na satellite yetu? Kenya wanavyo?
Hizi akili ndio zinazotuchelewesha kupata maendeleo na uhuru wa kweli, pumbaf sana na yule MwashambwaDemokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?
Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Kwa akili za kina BASHITE ?Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?
Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Unaota Wewe, Kenya wana akili Sio TanzaniaDemokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?
Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Letu ni la mambulula, halifai kulifuatilia!.Kwa nini unafuatilia bunge la Kenya badala ya kufuatilia bunge lako??
Unawaza ugoro kabisa,Kama tuna reli ya umeme na barabara za mabasi ya haraka kama nchi za magharibi tutashindwa nn kuwa na satellite yetu? Kenya wanavyo?
Wakati tunasema tunajenga reli ya umeme watu walibeza , na wakati tunasema tunakwenda kujenga shule za sekondari Kila Kata watu walibeza, tuliposema tunakwenda kujenga kituo cha afya Kila Kata na zahanati Kila Kijiji watu hawakuamini, tuliposema tunapeleka umeme/steamer Kila Kijiji na Kila kitongoji watu walidhani ni ndoto ya mchana. Leo hii yote hayo yapo tz. Wasishangae tukirusha satellites zetu za ulinzi, Hali ya hewa na mambo mengine huko angani.Hakuna nchi hata moja Africa imerusha satellite yake, seuze Tanzania? Watu kuota ndoto hamjambo.
Labda satelite za kwenda Dubai kuuza nchiDemokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?
Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Soma Pia: Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua
Ndoto za alinachaDemokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?
Watutukuta tz tuko siti za mbele sana kimaendeleo.
Soma Pia: Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua
KQ wenyewe wako Uingereza.
Wamasai pale pia sio kwao, wakoloni waliwafurusha kutoka Serengeti, wanafurushwa Tena kwenda Handeni Tanga. Wanyama hawezi kupelekwa msomera Handeni lakini wamasai wanaweza kuhamisha.
Ninachojua Kenya kila kitu sio chao, wakenya ni wakimbizi tu kwenye nchi yao. Wanajenga uchumi kwenye taifa ya ng'ambo, wanachorejesha Kenya kutoka huko wanakonyonywa ni kidogo sana (a peanut). Mwananchi mwenye njaa hana demokrasia; haiwezi hata kama ukimpatia. Kama wewe baba ni maskini usithubuti kumpa mkeo na watoto demokrasia ya kuchagua nini wale, nini wavae na wapi waende; hutaweza kuwatimizia. Pale China hakuna demokrasia kama Kenya, lakini China ni tajiri kuliko Kenya.Kama hujui kitu uliza
Wakenya hawajamjua mchawi wao, wacha watifuane kwa kisingizio cha demokrasia. Wana Katiba ambayo kila mtu anagoma aongezwe mshahara, watu 100 wanaweza kushikilia 80% ya ardhi yote yenye rutuba, watu 50 wanaweza kumiliki 70% ya rasilimali zote za nchi. Not yet Uhuru. Marekani imemwamuru Ruto apeleke askari polisi Haiti hata kama hapendi kufanya hivyo, hata kama katiba ya Kenya inakataza kufanya hivyo; NOT YET UHURU.Labda satelaiti ya uchawa