Kenya wameruhusiwa na nani kutangaza maambukizi mapya ya madereva wa Tanzania?

Wewe uliporudi Tanzania hukupimwa Namanga?
 
kama kweli kenya wanalinda nchi yao si bora wafunge mipaka yao na TZ period safari hii hakuna kugawana mali kama EAC ya 1977 ilipovunjika tupo makini tunajua walichotumwa na Triump
peleka ujinga wako huko, waambie waliokutuma watoe data za hali ya corona nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Zambia, Malawi je??
 
Watakwambia ni mabeberu watu hawataki kuumiza kichwa simple answer ni MABEBERU
 

Mkuu hao ni Watanzania walio kwenye no mans land I pesume pale Namanga. Wacha waseme tu hakuna tatizo tumewazoea hao makuwadi wa mabeberu.
 
Bwashee mbona mipasho mingi au hujaelewa swali?
Bwashee hizo data ni za korido ya kaskazini, haituhusu sisi wa korido ya kati. Wacha waendelee kupima for their own sake, ni katika harakati ya kulinda nchi yao.
 
Kwa mujibu wa taratibu za WHO hiyo takwimu inaingia kwa upande wa Kenya.Nchi alipopimiwa mtu ndipo takwimu yake inapoingia.
 

Hawa wakumbushwe taarifa hizi ni nyara za serikali.

Zaidi wakumbushwe hata hapa kwetu tokea Apr 29 tuliachana na hii habari ya kupimana.
 
Walivyotoa idadi ya watanzania wako sahihi tu vinginevyo kesi kwako itaongezeka hali ya kuwa hao wagonjwa washarudishwa kwao Tanzania, tusubiri mashine za maabara zikitengamaa tuone idadi yake ila kwa kuanzia tu Kenya washatusaidia wako wagonjwa wanane wapya.
 

Madereva wapo jurisdiction ya Kenya,Kenya can say whatever she wants!
 
Madereva wapo jurisdiction ya Kenya,Kenya can say whatever she wants!
kuna muda mbaazi ikikosa kuzaa husingizia jua,

hizi siasa chafu kutafuta mask ya uso kwa wananchi hazitaifikisha nchi popote kwenye mapambano,ndio kwanza ubao unasoma 735.
 
Kila siku vyombo vya habari hutangaza idadi ya maambukizo ya Korona nchini Kenya nao hawatulalamikii.
 
Hiyo takwimu itasomeka Kenya kwa sababu wao ndio walioripoti
 

wapigwe
wafungwe
wakamatwe tu
hakuna namna
Kenya wantumika na mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…