Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na wamejitahidi kuweka mazingira bora kwenye biashara.
Kwetu hapa mazingira yanatuangusha sana
Usumbufu wa TRA
Task Force - Wamefanya wengi wafirisike nakufunga biashara
Mambo mengi bado tunapanga foleni maofisini badala ya kufanyia online.
kodi na tozo kibao
mlolongo mrefu kushugulikia leseni, vibali, usajili, n.k. kwenye ofisi za serikali
Mpaka leo hatuna mfumo maarufu wa Paypal kuturuhusu watanzania kupokea pesa kutoka Ulaya, Marekani, n.k. tumebanwa kufanya malipo pekee
bandarini kulalamikiwa kuwa na kodi nyingi, mlolongo mrefu kutoa mzigo, n.k.
Kodi inakusanywa kwa mtiti tra huku task force kule traffic mabarabarani mpaka walinzi kwenye stand za Mwendokasi walikuwa wanashiriki kukamamta waliohisiwaa kukimbia kodi lakini kinachofanyika na hizo kodi hazionekani.
Watu wengine huwa mnajiandikia tu..
Ni kweli baadhi ya vitu wamepiga hatua lakini si kusema kuwa Kenya wametuacha hapana .
Uhuru uhuru na amani ni kitu muhimu Sana
Watanzania mnaishi kwa uhuru na amani Sanaa
Kenya ni ngumu kukuta mtu anakunywa supu kakunja na chapati mbili ni ngumu
Mtu anakunywa chai na visilensi viwili vya mkate😁😁
Hapana kwa kweli Kenya Kuna watu wanaishi katika Hali ngumu Sana
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na wamejitahidi kuweka mazingira bora kwenye biashara.
Kwetu hapa mazingira yanatuangusha sana
Usumbufu wa TRA - Pesa zinachomolewa kwenye account ya benki bila taarifa
Task Force - Wamefanya wengi wafirisike
kodi na tozo kibao
mambo yapo taratibu sana kwenye ofisi za serikali kusaidia wafanyabiashara
Mpaka leo hatuna mfumo maarufu wa Paypal kuturuhusu watanzania kupokea pesa kutoka Ulaya, Marekani, n.k. tumebanwa kufanya malipo pekee
Watu wengine huwa mnajiandikia tu..
Ni kweli baadhi ya vitu wamepiga hatua lakini si kusema kuwa Kenya wametuacha hapana .
Uhuru uhuru na amani ni kitu muhimu Sana
Watanzania mnaishi kwa uhuru na amani Sanaa
Kenya ni ngumu kukuta mtu anakunywa supu kakunja na chapati mbili ni ngumu
Mtu anakunywa chai na visilensi viwili vya mkate😁😁
Hapana kwa kweli Kenya Kuna watu wanaishi katika Hali ngumu Sana
Watu wengine huwa mnajiandikia tu..
Ni kweli baadhi ya vitu wamepiga hatua lakini si kusema kuwa Kenya wametuacha hapana .
Uhuru uhuru na amani ni kitu muhimu Sana
Watanzania mnaishi kwa uhuru na amani Sanaa
Kenya ni ngumu kukuta mtu anakunywa supu kakunja na chapati mbili ni ngumu
Mtu anakunywa chai na visilensi viwili vya mkate😁😁
Hapana kwa kweli Kenya Kuna watu wanaishi katika Hali ngumu Sana
Kenya ni capitalist country, wenye nacho wanacho kweli na waliochoka wamechoka kweli, kenya Kuna mitaa kula Bata ukiwa unaconvert kwenye pesa zetu za madafu lazima kichwa kiume

Haya bongo hali ipo hivyo, ukiwa na pesa utakula bata kwa mrija ila usipokuwa na pesa utateseka tu, zama za ujamaa ziliisha, tunachotofautiana ni kwamba Tanzania kuna ardhi yenye, msosi ni uhakika zaidi kuliko ukiwa masikini Kenya.
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na wamejitahidi kuweka mazingira bora kwenye biashara.
Kwetu hapa mazingira yanatuangusha sana
Usumbufu wa TRA - Pesa zinachomolewa kwenye account ya benki bila taarifa
Task Force - Wamefanya wengi wafirisike
kodi na tozo kibao
mambo yapo taratibu sana kwenye ofisi za serikali kusaidia wafanyabiashara
Mpaka leo hatuna mfumo maarufu wa Paypal kuturuhusu watanzania kupokea pesa kutoka Ulaya, Marekani, n.k. tumebanwa kufanya malipo pekee
Ndio ukweli, wametuacha kwa kila kitu, kijana wa bongo mwenye degree, kiburi chake ni swaga za, kiswaenglish,mbwembwe za kumiriki macho matatu, basi, kwa madem, ni kutikisa makalio,
Kenya upeo wa kijana wa shule ya msingi ni balaa, anajua siasa, haki zake mbele ya sheria, Mambo ya kiulimwengu, juzi wizara Yao Mambo ya nje, ilitangaza ajira kibao nchini Qatar, vijana wakajitokeza, wakike kwa wakiume! Wapo tayari kuondoka na kuzamia ughaibuni, wakiacha familia nyumbani,
Kenge wa bongo, kijana anapata kazi nzuri katavi, anakataa, anataka akae karibu na Njemba yake mjini
Simple wanaenda huko sababu ya historia background ya kenya ni capitalist by nature sisi bado hatujulikani ni communist au tumeenda capitalist sababu ya njaa..
Maana sela zetu huko nje ni za kicapitalist ila utendaji wetu wa kazi wa serikali ni wa communist.