Kenya wamewezaje kuwa na giants kuliko mataifa yote Afrika Mashariki!?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.

Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.

Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.

Nini kinasababisha!?
 
Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za africa mashariki.

Nini kinasababisha!?
Nchi nyingime kama Tanzania zina idadi kubwa ya Raia wasiojitambua, issue ya kifala kama kesi ya Mbowe ilitosha kuwafanya maccm waache mambo ya kingese lakini mi wananchi ilivyo lala.
 
haina ugiant wowote.

ni mwendelezo wa njozi za faraja tu.
nchi ina watu 50ml kwa uchumi wa $101bln,ikiwa na kiwango kibaya cha umasikini(chakula)kinachosababishwa na ukame,huu ugiant una maana gani kama sio picha ya ukutani tu!!!!

africa bado tuna safari ndefu sana,hasa pale 2021 tunapoendelea kuhangaikia huduma za msingi bado,SKorea pekee ina uchumi mkubwa kuliko bara zima hili,na ni nchi ya 10 kwa uchumi mkubwa.

bado nasisitiza haina huo ugiant.
 
Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.

Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.

Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.

Nini kinasababisha!?
1. Good education system
2. Exposure
3. Generational wealth
4. Seriousness in all undertaking- farming, manufacturing, sports etc
5. Existence of multinationals.
 
Wakati unajiuliza fikiria kama Jaji wa kenya anapewa hongo la vyeo ili afunge watu wasio na Hatia? Je msajiri wa vyama kenya yuko kam Jaji fake Mtungi?
 
1. Good education system
2. Exposure
3. Generational wealth
4. Seriousness in all undertaking- farming, manufacturing, sports etc
5. Existence of multinationals.
Yaani Mkuu, somehow hujaona Ukabila na excessive looting ya mali iliyowapa hao watu hiyo nguvu wakati unaweka list?!
 
Ninyi hamna ukabila .... mbona hamjaendelea? Rwanda kuna ukabila, the same as Kenya wapo wapi Wanyarwanda? Sisi tuna kila kitu, amani, hakuna ukabila, abundant natural resources... fertile land, rivers, lakes, minerals, milima mikubwa, wanyama pori, gesi asilia, madini mbali mbali , ukanda mrefu wa pwani, nchi kubwa yenye kanda mbali mbali zinazofaa kwa mazao mengi mfano .. kahawa, chai, kokoa, mkonge, pyrethrum, mahindi, mpunga, maharagwe, viazi, ndizi, .....kila kitu!!! Tupo wapi ni zao gani tunalo-export duniani na tunajulikana kwalo
 
Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.

Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.

Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.

Nini kinasababisha!?
Ukabila, Kenya Kuna ukabila hivyo strength yako iko kwenye kabila lako tu siyo nchi mzima tofauti na nchi jirani ambazo hazina ukabila.
 
Ujamaa uchwara na siasa za chama kimoja kwa muda mrefu zimetufanya vibaya sana.
Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi.

Yapo majina mengi mazitomazito kama vile Mudavadi Wetangula, Musyoka, Odinga, Joho , Ruto , nk. Hawa wote ni wanasiasa wazito.

Hali ni tofauti sana katika nchi zingine zilizobakia za Afrika Mashariki.

Nini kinasababisha!?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Nchi nyingime kama Tanzania zina idadi kubwa ya Raia wasiojitambua, issue ya kifala kama kesi ya Mbowe ilitosha kuwafanya maccm waache mambo ya kingese lakini mi wananchi ilivyo lala.
Raia tuangaike nini sasa na mambo yenu ya kisiasa hayo? maana ndio tunavyoona hivyo kwamba ni issue zenu za kisiasa tu mtamalizana wenyewe. Leo na kesho kutwa unaweza kukuta Mbowe yupo ccm kama ambavyo wengine walivyofanya ambao hatukutegemea, sasa si bora tu tuendelee kutojitambua tu.

Huu mchezo haujitaji hasira.
 
haina ugiant wowote.

ni mwendelezo wa njozi za faraja tu.
nchi ina watu 50ml kwa uchumi wa $101bln,ikiwa na kiwango kibaya cha umasikini(chakula)kinachosababishwa na ukame,huu ugiant una maana gani kama sio picha ya ukutani tu!!!!

africa bado tuna safari ndefu sana,hasa pale 2021 tunapoendelea kuhangaikia huduma za msingi bado,SKorea pekee ina uchumi mkubwa kuliko bara zima hili,na ni nchi ya 10 kwa uchumi mkubwa.

bado nasisitiza haina huo ugiant.
Watu wanapenda siasa kuliko hayo maendeleo unayoyatizama mkuu.
 
Back
Top Bottom