Majority wakiridhika hata na ujinga wanakuwa sahihi? Bora PhD ya Tale
..suala la katiba mpya sio ujinga.
..katiba mpya itatuwekea utaratibu mzuri zaidi wa kutatua changamoto za kiuchumi, kijamii, na kisiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majority wakiridhika hata na ujinga wanakuwa sahihi? Bora PhD ya Tale
Hivi Jo huko CCM kuna kiwanda cha kutengeneza sampuli hizi za Mbumbumbu au ni tatizo la kuzaliwa nalo?Kenya siyo Tanzania!
We must stop dictatorship in Kenya, this is a democratic country cannot be ruled by two tribes since independence, stop it or we shall divide Kenya into two parts like Sudan and EretreaNadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka?
Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi kaandamana Bungeni na akapigwa mabomu na kukamatwa. Na sisi wa katiba ya zamani bei ziko juu.
Tozo ziko juu, pale pale sawa na sisi wa katiba ya zamani.
Nadhani mabadiliko ya sheria zilizo chini ya katiba yanatosha. Mama Kaunda tume ya haki jinai, mapendekezo yake yakifanyiwa kazi, hutamuona mtu anasema katiba. Huko kwenye jinai ndiko wananchi wanakutana na mapolisi Kila siku.
Cha kushangaza, huko Kenya kwenye katiba mpya, Erick Omondi kaandamana, kapigwa mabomu, kakamatwa, na katiba mpya ipo inayotoa Uhuru wa kuandamana!
Let's go back to the drawing table. Ni katiba kweli tunataka au Kuna kitu tunataka lakini hatujui ni kitu gani! Ila Mimi kama nakiona Samia anakifanyia kazi, kwa ambao hawakioni, nitakuja na Uzi kuonyesha kwamba wananchi hawataki makaratasi na vyeo vipya.
Asamaleko!
Kwani sasa hatuna katiba au mpaka iwe mpya- na upya wenyewe ni nini hasa..suala la katiba mpya sio ujinga.
..katiba mpya itatuwekea utaratibu mzuri zaidi wa kutatua changamoto za kiuchumi, kijamii, na kisiasa.
Kwani sasa hatuna katiba au mpaka iwe mpya- na upya wenyewe ni nini hasa
wananchi gani- mbona unatuletea usanii maana sote tulikuwepo- YAANI Pemba, Kigoma kuongoza kwa idadi ya watu kutoa maoni kuliko Dar es salaam- halafu mnataka watu wazima tuunge mkono ujinga huo?..maoni ya wananchi kuhusu Katiba yalikusanywa na yapo ktk rasimu iliyoandaliwa na Tume ya Jaji Warioba.
Sawa Tindo..suala la katiba mpya sio ujinga.
..katiba mpya itatuwekea utaratibu mzuri zaidi wa kutatua changamoto za kiuchumi, kijamii, na kisiasa.
wananchi gani- mbona unatuletea usanii maana sote tulikuwepo- YAANI Pemba, Kigoma kuongoza kwa idadi ya watu kutoa maoni kuliko Dar es salaam- halafu mnataka watu wazima tuunge mkono ujinga huo?
Hoja yenye agenda....!!?Sitaki ku-justify kitu, nimeweka hoja tu
Katiba nzuri inawasaidia wananchi kwakuwatendea haki lakini sio viongozi wanaotaka madaraka kwa nguvu. Ubinafsi hautoishaKatiba mpya ndio itapunguza bei ya chakula? US wana katiba nzuri, mbona Trump hadi leo analalamika? Kwani katiba inazuia mtu kulalamika?