Kenya: Wanaume wavishana pete ya uchumba

Kenya: Wanaume wavishana pete ya uchumba

Kumbe wavaa visuruali vya kubana chini ndo tabia zenu. So disgusting
 
Tusiongee sana. Laana hii inaweza kukupata mwanao wa kiume akaolewa. Na pesa zako sijui uso wako utauweka wapi
 
afu na jamaa wamehudhuria kabisa...na picha wanapiga...na nyuso zao zinaonesha wana furaha kabisa...!!hatari!!!(in Mac Regan's voice) weka mbali na watoto!!
 
Kuomba Mungu hicho ndio cha muhimu Mkuu.
ila Mimi inanishangaza kidogo..!!kuna dogo hapa mtaani toka amezaliwa yuko kama mwanamke mpaka leo hii ni shoga hasaa!!!sasa najiuliza,inakuwaje mungu anaruhusu mtu kuzaliwa shoga ilihali anauchukia??..
 
Back
Top Bottom