Kenya yaagiza treni 56 kwa ajili ya SGR

Kenya yaagiza treni 56 kwa ajili ya SGR

Wewe ndiye mwenye ushamba maana unategemea lugha moja ya Kiswahili ambacho chenyewe hakina maneno mengi ya msingi kwenye masuala ya uchumi.

Treni inaweza kuwa bila behewa na ikaitwa treni, kwa mfano ile inayotumiwa kwenye shunting.
Tatizo Kiswahili chenyewe magumashi na kinatumiwa sana na nyie wavivu, na ndio maana mpo nyuma hivi bila uelewa wa mambo mengi.

Unaposema "Kichwa cha treni" hayo ni maelezo ya maana ya neno locomotive, na sio mbadala wake.
Kama nilivyosema, nina uelewa wa ndani wa masuala ya reli, tatizo ni lugha yenyewe dhaifu na inakua tatizo kupata maneno yeke hata kwenye kamusi.

Kwa mfano, nimetafuta sana neno mbadala ya "Shunting", kuna siku niliandika ripoti fulani ya masuala ya reli ambayo nilitegemewa kuitafsiri pia kwa Kiswahili. Aisei nilihangaika kishenzi, lugha ya Kiswahili bado sana.
(a) Hakuna lugha iliyokamilika, Kiingereza pia kina upungufu wa misamiati au neno moja linaloelezea kitu au jambo fulani: Jaribu kutuambia neno moja la Kiingereza linalojitosheleza kuelezea mifano hii;.....

Mfano 1, pale unapokuwa umeshiba sana, ila chakula ni kitamu sana na hutaki kuacha....

Mfano 2, unakula chakula cha moto, hadi unafunua mdomo, na kutikisa kichwa ili chakula kipoe.....

Mfano 3, Kulala sakafuni bila kutandaza chochote, huku umelewa na upo uchi.....

Mfano 4, Kiswahili kuna kesho, keshokutwa, mtondo, mtondogoo, hebu tuambie kwa Kiingereza, siku zinazofuata baada ya 'Tomorrow'...

(b) Kwakuwa unazungumzia masuala ya treni, na umedai, kushindwa kuona neno moja la Kiswahili linaloelezea 'Kichwa cha treni' kunaifanya Kiswahili kuwa lugha ya 'magumashi' inayotumiwa na 'wavivu' na 'wasio na uelewa wa mambo mengi', naomba kuuliza:.......

Tuna neno 'behewa (umoja) au mabehewa (wingi) kwenye Kiswahili, tafsiri yake kwa Kiingereza ni neno 'railroad car(s)' au 'railcar(s)' au 'railway carriage(s)'.....Rail+road+car(s), rail+car(s), rail+carriage(s), Kichwa+cha+treni.....Ina maana tatizo la kukosekana kwa neno moja lipo kwenye lugha zote?......
 
Treni 56 au mabehewa 56?

Matatizo ya hawa jamaa zetu wanakurupuka kuandika vitu kabla hawaja x check, kama hawawezi kutofautisha kati ya mainline locomotive,shunters, rolling stock (mabehewa) na unapo sema train unamaanisha nini - terms zote hizo wanazitumia interchangebly!!!

4 your info, you form a train you don't buy trains - kwa taarifa yao train inakuwa formed kwa kufunga mabehewa na locomotive moja au mbili kutegemea na idadi ya mabehewa/mzigo. Train = Locomotive/s + Rollingstock(mabehewa).

Kitu kingine hawasemi locomotive zinatumia mfumo upi wa transmission, je, ni hydraulic au electric - Diesel Engine imefungwa kwenye loco kama prime mover tu haina uhusiano wowote na suala la transmission - mleta mada/uzi ajaribu ku rewrite article itakayo eleweka vizuri.
 
Wewe ndiye mwenye ushamba maana unategemea lugha moja ya Kiswahili ambacho chenyewe hakina maneno mengi ya msingi kwenye masuala ya uchumi.

Treni inaweza kuwa bila behewa na ikaitwa treni, kwa mfano ile inayotumiwa kwenye shunting.
Tatizo Kiswahili chenyewe magumashi na kinatumiwa sana na nyie wavivu, na ndio maana mpo nyuma hivi bila uelewa wa mambo mengi.

Unaposema "Kichwa cha treni" hayo ni maelezo ya maana ya neno locomotive, na sio mbadala wake.
Kama nilivyosema, nina uelewa wa ndani wa masuala ya reli, tatizo ni lugha yenyewe dhaifu na inakua tatizo kupata maneno yeke hata kwenye kamusi.

Kwa mfano, nimetafuta sana neno mbadala ya "Shunting", kuna siku niliandika ripoti fulani ya masuala ya reli ambayo nilitegemewa kuitafsiri pia kwa Kiswahili. Aisei nilihangaika kishenzi, lugha ya Kiswahili bado sana.
Wewe ndio kiazi..
Usingesema kenya yaagiza treni 56... Ungandika kwa kingereza cha mabwana zenu basi kama kiswahili unakiona ni magumashi
 
(a) Hakuna lugha iliyokamilika, Kiingereza pia kina upungufu wa misamiati au neno moja linaloelezea kitu au jambo fulani: Jaribu kutuambia neno moja la Kiingereza linalojitosheleza kuelezea mifano hii;.....

Mfano 1, pale unapokuwa umeshiba sana, ila chakula ni kitamu sana na hutaki kuacha....

Mfano 2, unakula chakula cha moto, hadi unafunua mdomo, na kutikisa kichwa ili chakula kipoe.....

Mfano 3, Kulala sakafuni bila kutandaza chochote, huku umelewa na upo uchi.....

Mfano 4, Kiswahili kuna kesho, keshokutwa, mtondo, mtondogoo, hebu tuambie kwa Kiingereza, siku zinazofuata baada ya 'Tomorrow'...

(b) Kwakuwa unazungumzia masuala ya treni, na umedai, kushindwa kuona neno moja la Kiswahili linaloelezea 'Kichwa cha treni' kunaifanya Kiswahili kuwa lugha ya 'magumashi' inayotumiwa na 'wavivu' na 'wasio na uelewa wa mambo mengi', naomba kuuliza:.......

Tuna neno 'behewa (umoja) au mabehewa (wingi) kwenye Kiswahili, tafsiri yake kwa Kiingereza ni neno 'railroad car(s)' au 'railcar(s)' au 'railway carriage(s)'.....Rail+road+car(s), rail+car(s), rail+carriage(s), Kichwa+cha+treni.....Ina maana tatizo la kukosekana kwa neno moja lipo kwenye lugha zote?......

Jamaa umepotea sana siku nyingi, ama wewe ni baadhi ya wale mamluki waliotoweka baada ya uchaguzi.

Anyway, umeiweka vizuri and am humbled, ni kweli hakuna lugha iliyojitosheleza. Lakini bado nashikilia kwamba Kiswahili hakina misamisati/maneno mengi ya msingi, nimehangaika sana nikiandika ripoti hata nikiwa na Wabongo wenyewe wanaojinadi kukimiliki Kiswahili. Unakuta tunatafuta maneno kwenye kamusi ya tafsiri, tuna-Google na kupoteza muda mwingi bila mafanikio hadi kero.

Tatizo ni kwamba, ripoti yenyewe umeshaikamilisha kwa lugha ya Kingereza bila matatizo, lakini mteja ameshikilia eti lazima pawe na ripoti pia kwenye lugha ya Kishwahili.

Halafu hapo kwenye tafsiri nafikiri umewahi kusikia maneno "overmorrow","wagons"
 
Hah hah nipo mkuu, mimi sio mamluki, uchaguzi wetu ulishaisha, na sasa hivi demokrasia ya Kenya inakaribia tena kuwa majaribuni.....

Hata hivyo inaonekana katiba yenu pamoja na upya wake ina kasoro zinazopelekea wapinzani kuandamana kuhusu tume huru ya uchaguzi.....

Mkuu, lugha yoyote ile inakua, misamiati huongezeka na hivyo kupelekea kutoa matoleo mapya ya kamusi...hata Kiingereza kuna tofauti kati ya toleo jipya na la zamani la Kamusi......

Huku Tz, Kiswahili hutumika rasmi kama lugha ya mawasiliano na taarifa zote hata zile zinazohusu masuala ya treni na reli huwa zinakamilika kwa lugha ya Kiswahili.....kamilisha hizo taarifa zako kwa Kiswahili acha kutoa visingizio...

Maneno 'Overmorrow' na 'wagon' yalitumika zamani na hayatumiki kwa sasa kwa maana sawa na 'railcar'. Mfano, huwezi kusikia kuwa serikali imeagiza 'wagons', neno 'wagon(s) lina maana iliyo maarufu kama usafiri wa matairi manne, wenye umbo la mstatili unaovutwa na farasi......
 
You are damn right bro,but when the fudge will I see my favourite GoT character Khaleesi (since they murdered my other favourite,King Geoffrey) do her thing with no interuptions,am tired of waiting man!Damn,if I were a character in GoT illd follow Khaleesi to the moon and back!Haha!
khal drogo was the best and maybe with khaleesi could have been much better.
 
MK254 naona umechokoza nyuki hehehehe. Lakini naona habari umepasha wengine hapa na darasa la lugha.. wapi na wapi....
Most of the locomotives and wagons are for cargo, they want to take as many trucks off the road as soon as possible.
 
khal drogo was the best and maybe with khaleesi could have been much better.
Yeah?I think Khal Drogo was nothing without Khaleesi!Anyway lets agree to disagree,I may be biased when it comes to Khaleesi!Damn,she's fine!Haha!GoT is the greatest though.
 
You are damn right bro,but when the fudge will I see my favourite GoT character Khaleesi (since they murdered my other favourite,King Geoffrey) do her thing with no interuptions,am tired of waiting man!Damn,if I were a character in GoT illd follow Khaleesi to the moon and back!Haha!
Yeah?I think Khal Drogo was nothing without Khaleesi!Anyway lets agree to disagree,I may be biased when it comes to Khaleesi!Damn,she's fine!Haha!GoT is the greatest though.

khal drogo was the best and maybe with khaleesi could have been much better.

You guys are shallow, lol. Khaleesi is nowhere close to the best character. She is beautiful yes. She is has power yes. But she is nowhere close to the best character or the most powerful. Let me give you the real guys who make us want to watch this thing over ang over.

1. The Imp - my lord this guy is witty, funny, smart and a strategist. No scene that has Tyrion Lannister can be boring.

2. Varys - Smart and knowledgeable.

3. Lady Olenna Tyrell - this woman is a maester of conversations and putting people down when she has to.

4. Litt;e Fingers - the villain of the show but Baelish will make you love him with his scheming and conniving nature. You have to be a smart fellow to rise from nothing to running everyone. He makes the show worth watching.

5. Brienne of Tarth - not funny, not scheming, not conniving, not knowledgeable but this lady is likeable for her loyalty and her prowess in battle. She is by far the only lady in the show who's fighting prowess is believable - she actually looks big, strong and well excercised.
 
Kenya Railways has ordered 56 trains to operate on the standard gauge railway (SGR) ahead of the June 2017 completion of the Mombasa-Nairobi section.
Among the orders are eight shunting, five passenger and 43 cargo locomotives. A shunting locomotive is used in a train yard to move wagons around and assemble a train before a mainline locomotive takes over.

The rail firm has also ordered 1,620 freight wagons – a mixture of both boxed and flat. The trains will be delivered between December and March 2017.

The order adds to the list of Chinese companies that have benefited from the SGR project with the contractor building the rail also expected to bag the contract for running the line.

The cost of procuring the trains is part of the Sh327 billion contract issued to the project’s contractor, China Road and Bridge Corporation (CRBC).

“We have given the contractor approval to go ahead with the procurement. Currently we are inspecting three factories that will be used to make the trains,” Kenya Railways managing director Atanas Maina said.

Commencement of the SGR operations is expected to see reduced business for truckers and bus companies with the trains set to remove thousands of trucks and buses from the Mombasa- Nairobi road.

Kenya Railways said one train will haul 216 20-foot containers in a journey that is the equivalent of 108 trucks on the road.

This translates to a total of 4,644 trucks taken off the road if all the 43 freight trains are running.

The cargo trains procured allow for double-stacking of containers and will move at 80kph. The trains will be diesel- powered but can be upgraded to electric in future. A total of 40 coaches for the passenger trains are also expected to be purchased for use on the line.

“Each passenger train will have a capacity of 1,096 people with a designed speed of 120kph,” Kenya Railways said in a statement.

The government is set to sign a five-year contract with CRBC’s parent company, China Communications Construction Company (CCCC) to operate the line once it is completed.

Mr Maina said they are evaluating the proposal and could not reveal how much CCCC will be paid for the service or how much passengers will pay in fare.

“That (fare) is part of what we’ll talk about with the operator,” he added.
Kenya Railways orders 56 trains for SGR line
Good news..BUT knowing how corrupt Kenya is..they will buy trains manufactured in 70s ,paint them and then buy them at the price on brand new
 
Nina uelewa wa ndani kwenye masuala ya reli, hivyo sijajichanganya kwa kusema treni 56.
Mabehewa yalioagizwa ni 1,620, hivyo muache ujuha wa Kibongo.
hongereni. na sisi tutaleta zetu, i hope mtatupongeza pia.
 
Next to breaking bad.
Waah,yes you are right,breaking bad was dope but GoT is the dopest!Ranking currently in my opinion,1.GoT,2.Vikings,3.Shameless(dont know why not many guys follow it,its dope!),4.Banshee and Ray Donovan(tie for the two),5.Wentworth,australian women prison drama and,6.OITNB american version of Wentworth.Thats my dopest series list.
 
Waah,yes you are right,breaking bad was dope but GoT is the dopest!Ranking currently in my opinion,1.GoT,2.Vikings,3.Shameless(dont know why not many guys follow it,its dope!),4.Wentworth,australian women prison drama and,5.OITNB american version of Wentworth.Thats my dopest series list.
Vikings is good too I guess you like Da Vinci Demons
 
Vikings is good too I guess you like Da Vinci Demons
Like Da Vinci Demons but not that much.Added Banshee and Ray Donovan to the list above too.You've watched Shameless?Its crazy,real crazy!
 
Like Da Vinci Demons but not that much.Added Banshee and Ray Donovan to the list above too.You've watched Shameless?Its crazy,real crazy!
I havent watched it...I tend to be more inclined to historical fantasies,conspiracies and politics such as House of Cards.
 
I havent watched it...I tend to be more inclined to historical fantasies,conspiracies and politics such as House of Cards.
I like conspiracies too and political espionage,like The Americans.Forgot House of cards,its great.I like historical fiction too,there one called Hell on Wheels,about Red Indian resistance during the building of East/West coast railway line in pre-independence U.S.A.Common plays one of the leading roles.Check it out,iko juu.Imefika sn5 right now.Shameless is a comedy series,not sitcom tho'.Its great.I like mixing it up with comedies,stand-ups too.
 
Rift valley railways has around 20 locomotives why would SGR not have 56?
 
Back
Top Bottom