joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, hapo nimejichanganya. Hili ndio tatizo la hivi vifaa(smart phones).What's the difference between electronic and electric? Which is electronic here, your rail or the trains?
It's good to learn a new thing everyday
Sijawahi tukana Mimi na nikitusi MTU basi huwa nalipiza kisasi tu baada ya kutukanwa. Umejiunga jf juzi na umeanza kunihukumu. Nilikuwa natukanwa sana na akina kidonda11 na ichoboy01 I taught them a lesson hadi ikabidi kidonda11 atoroke jf.Wewe una tabia ya kutusi watu alafu ukirudushiwa tusi Unaanza kulia lia,
Nikupe tu taarifa popote utakapo toa tusi humu nitakula sahani moja na wewe.
Hilo la kukosa uvumilivu ndio sababu kubwa ya watu kuuliwa hovyohovyo huko Kenya, jambo dogo tu huko kwenu linasababisha mauaji kutokana na kukosa uvumilivu.Hao hamna jinsi, ni kuwapuuza maana najijua sina uvumilivu, hauwezi ukanitusi nikuache, nakupa za uso moja kwa moja, mimi sio wale watu wa thick skin, eti nivumilie maatusi. Sasa hapo ingeniletea permanent ban, maana humu nishapigwa ban. Wenyewe wamezoea kupigwa bans, ukiona wametoweka siku tatu ujue kalishwa ban, sema sijui kwanini mod hawawatishi na permanent kama walivyofanya kwangu. By the way yule Redeemer sijamuona akikesha huku siku tatu sasa, nafikiri kalishwa ban.
Cha msingi ni kupuuza kabisa, unamuacha anapita.....akikutusi hata kama hujajadili naye, toa taarifa awekwe pembeni siku tatu.
How can a non-existent thing collapse?
Kakudanganya nani nimejiunga jf juzi au unaona joining date hapo,Sijawahi tukana Mimi na nikitusi MTU basi huwa nalipiza kisasi tu baada ya kutukanwa. Umejiunga jf juzi na umeanza kunihukumu. Nilikuwa natukanwa sana na akina kidonda11 na ichoboy01 I taught them a lesson hadi ikabidi kidonda11 atoroke jf.
Hebu onyesha mahali nimetukana we' mzee wa kubwabwaja bila ushahidiKakudanganya nani nimejiunga jf juzi au unaona joining date hapo,
Naifahamu jf kabla hujaifahamu,
Wewe tukana tu ili ujue nitakula sahani moja na wewe.
Non existent according to your low thinking capacity.How can a non-existent thing collapse?
Sina muda mchafu wa kufuatilia comment zilizopita.Hebu onyesha mahali nimetukana we' mzee wa kubwabwaja bila ushahidi
Hii ni train yetu ya zamani, inatembea 100Km/h. Reli yetu ya zamani pia ni " continues welded ", yaani ukiwa katika hii train, ni kama kwenye ndege, husikii kelele za hizo joints. This MGR is more comfortable inside than your SGR".1. Do you even know the meaning of electronic?
2. Ours is jointed, what's your point?
4. Show me a Tanzanian train moving at that speed. Ours are moving at 120kph and will increase when we electrify it.
5. Have you seen Kenya's central control? Please, post yours and we post ours and do the comparison.
7. Bullet trains? kkkk.............where are they? Show me one. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa funga hicho kinywa chako chenye uvundo. Ukome kusingizia watu maneno na kuwahukumuSina muda mchafu wa kufuatilia comment zilizopita.
hongera sana mzee haji, kuna mafisadi yamebanwa na sasa yanatafuta pa kutokea!...yabanwe tuuπView attachment 1244151
Afadhali yangu kinywa ndio kina uvundo nikiswaki kinakua freshi,Sasa funga hicho kinywa chako chenye uvundo. Ukome kusingizia watu maneno na kuwahukumu
Sababu uliingia humo ukanusa heh? Ila hata huko huoshwa hiyo roho yako nyeusi tititi utaisafisha na nini?Afadhali yangu kinywa ndio kina uvundo nikiswaki kinakua freshi,
Wewe ni kule maeneo ya ukanda wa bonde la ufa ndio kuna uvundo.
Nani aingie kwenye mtaa rooow akutane na z Victoria,Sababu uliingia humo ukanusa heh? Ila hata huko huoshwa hiyo roho yako nyeusi tititi utaisafisha na nini?
Ulifanya vizuri kutonikaribia maana ule uvundo ambao hutoka mwilini mwako kwa ajili ya kula nyama za binadamu si wa kustahimili hata kidogo.. Ongeza na kisonono ambacho kimekuathiri kwa muda mrefu ulichoambukizwa na wale machangudoa ambao niliwaona pale arusha majira ya jioniNani aingie kwenye mtaa rooow akutane na z Victoria,
Harufu inasikika hadi humu,
Nilijaribu kuingia pm yako nikasikia harufu ya kitu kibaya sana iiabidi nighairi tu.
Ingekuwa ni low quality ingebomoka mvua ilivyonyeesha majuzi kama hiyo yenu ioivyobomoka kabla hata ya kuanza kutumika.
Hii ni train yetu ya zamani, inatembea 100Km/h. Reli yetu ya zamani pia ni " continues welded ", yaani ukiwa katika hii train, ni kama kwenye ndege, husikii kelele za hizo joints. This MGR is more comfortable inside than your SGR".
Muelewe dada janerozeUlifanya vizuri kutonikaribia maana ule uvundo ambao hutoka mwilini mwako kwa ajili ya kula nyama za binadamu si wa kustahimili hata kidogo.. Ongeza na kisonono ambacho kimekuathiri kwa muda mrefu ulichoambukizwa na wale machangudoa ambao niliwaona pale arusha majira ya jioni
Wow here we go πππUlifanya vizuri kutonikaribia maana ule uvundo ambao hutoka mwilini mwako kwa ajili ya kula nyama za binadamu si wa kustahimili hata kidogo.. Ongeza na kisonono ambacho kimekuathiri kwa muda mrefu ulichoambukizwa na wale machangudoa ambao niliwaona pale arusha majira ya jioni